daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
- Thread starter
- #21
Hata hivyo lipo chapuo la Lisu lakini watu wa karibu wanasema Lisu amekuwa mwaoga sasa tofauti na zamani kwani walipomwomba kurudi amekuwa na kusita sita sana tofauti na ule ujasiri wake wa mwanzo nadhani amepima thamani ya maisha yake kama mpiganaji kutoka geto Bob alivyosema kuwa heri yule apiganaye na kukimbia huishi kupigana tena