Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa.
Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu anayepigania wengine kuwa huru. Ndiyo maana haishangazi kwa Mwarabu ama Mzungu mmoja aliweza kuwafanya maelfu ya mababu zetu kuwa watumwa kwa msaada wa mababu zetu wengine.
Inashangaza watu kuacha kupambana na CCM inayowasababishia ujinga, maradhi na umaskini badala yake wanapambana na CHADEMA inayopigania Uhuru, Heshima na Demokrasia ya Watanzania.
Kwa nini unaipinga CHADEMA?