CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

Tusidanganyane hapa, vyama vyote Tanzania hii kila kimoja kinapigania maslahi yake binafsi kwa mgongo wa kutetea watu.
 
Chadema ni wasanii tu kama Kaole group
Wewe ni mfaidika wa waliopo madarakani kwa ivo ni lazima uone CHADEMA ni kama Kaole Group. Hayo maisha ya kuponda raha bila ya kufanya kazi yoyote kisa mafao ya kiuongozi, ungeyapataje kama siyo mfumo mbovu unaolindwa na CCM?
 
Ni aina fulani ya kufiri kiupogo uliyonayo. maslahi binafsi ya chama cha siasa ni nini?
Ndiyo nishakwambia hivyo hata ukiuliza maswali yako utajijibu mwenyewe, ukweli hakuna chama cha kumpigania mwananchi hapa. Vyote vinapigania madaraka tu, si chadema, cuf, ccm, wala hao wengineo.

Usitake kuonesha mmoja msafi wengine wachafu wakati wote ni wanyama wa jamii moja. Wewe endelea wati au kujidanganya hivyohivyo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
CHadema itaungwa mkono iwapo itarudi upande wa wananchi vinginevyo ni makida makida.
 
Kipindi cha nyuma CHADEMA hiyohiyo iliaminisha watu kwamba suluhisho la matatizo yao ni KATIBA MPYA. Sasa baada ya viongozi wote wa CHADEMA kulambishwa asali, wameufyata hadi waliopo nje ya nchi. Kwa wale tunaobet hiyo inaitwa BOTH TEAM TO SCORE maarufu kama GG. Hakuna Cha CHADEMA wala upinzani tena. Wote wameufyata wanalamba asali. No more matamkos..[emoji6][emoji848]
Kama viongozi waliongea wakakaa kimya ni jukumu letu sasa kama wananchi kubeba hiyo agenda ili kuhakikisha inatekelezwa.sio wakati wakusubiri viongozi wa chadema watusemee siku zote wakati katiba mpya ni manufaa kwa wananchi wote na nchi kwa ujumla.
 
1. Uhuru gani Chadema inapigania?

2. Demokrasia gani Chadema inapigania ?

3. Heshima gani Chadema inapigania ?

4. Ustawi gani wa Tanzania Chadema inapigania?
Uhuru wa nchi,democrasia ya nchi na ustawi wa nchi na wananchi.
 
Chadema haiwezi kupigania ustawi wa nchi kabla ya kupigania ustawi wake yenyewe!!! Yenyewe tu Haina ustawi ,,wanabaguana Kwa ukanda ,ving'ang'anizi wa madaraka ,ni watu wa mihemuko na hawana ajenda yoyote, kama Kuna chama hakitakuja kushika Dola milele basi ni chadema ,,,labda ubunge na udiwani....hata huyo mnamwita Antipas Hana haiba ya kuwa rais wa nchi .labda anafaa tu kuwa mwanaharakati ,na mtetezi wa haki binadamu kisheria ,,mtu mwenye haiba ya kuwa rais kwenye chama chenu ..ni Lazaro nyalandu , salum mwalimu basi wengine wote ni wapiga kelele tu boss
Hayo ni mawazo yako,na ni mawazo duni kwasababu wewe badala ujenge hoja unashambulia wajihi wa mtu.Unachotakiwa kujiuliza ni kwamba je hayo ambayo chadema wanayasema kwa wananchi yana manufaa au hayana.mambo yakushika dola achana nayo kwasababu wewe ni hayawani ambaye ya kesho hayajui.
 
Tusidanganyane hapa, vyama vyote Tanzania hii kila kimoja kinapigania maslahi yake binafsi kwa mgongo wa kutetea watu.
Ukishaelimika unapaswa ujipambanie mwenyewe kwa manufaa yako na nchi kwa ujumla.sasa chadema wameshatoa elinu unataka nini tena?
 
Kwamba Hilo genge la wachagga ndio linapigania ustawi wa Tanzania 😄😄😄

Kuna watu makengeza kawalawiti kabisa akili.
 
Ndiyo nishakwambia hivyo hata ukiuliza maswali yako utajijibu mwenyewe, ukweli hakuna chama cha kumpigania mwananchi hapa. Vyote vinapigania madaraka tu, si chadema, cuf, ccm, wala hao wengineo.

Usitake kuonesha mmoja msafi wengine wachafu wakati wote ni wanyama wa jamii moja. Wewe endelea wati au kujidanganya hivyohivyo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hayo ya chama kujipigania madaraka yanakuwepo kwasababu ya ujinga wetu wananchi tulio wengi.tungekua tunajielewa sisi wananchi ndio tungekua tunaamua kupitia uchaguzi huru na haki nani wakutuongoza kulingana na jinsi tulivyonuona.Sasa hilo sio kosa la vyama ni kosa la sisi wananchi ndo maana vyama vinaitumia hiyo fursa.
 
Kwamba Hilo genge la wachagga ndio linapigania ustawi wa Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna watu makengeza kawalawiti kabisa akili.
Sasa wewe mjinga utajuaje mambo makubwa wakati ubongo wako mchache.
 
Chadema haiwezi kupigania ustawi wa nchi kabla ya kupigania ustawi wake yenyewe!!! Yenyewe tu Haina ustawi ,,wanabaguana Kwa ukanda ,ving'ang'anizi wa madaraka ,ni watu wa mihemuko na hawana ajenda yoyote, kama Kuna chama hakitakuja kushika Dola milele basi ni chadema ,,,labda ubunge na udiwani....hata huyo mnamwita Antipas Hana haiba ya kuwa rais wa nchi .labda anafaa tu kuwa mwanaharakati ,na mtetezi wa haki binadamu kisheria ,,mtu mwenye haiba ya kuwa rais kwenye chama chenu ..ni Lazaro nyalandu , salum mwalimu basi wengine wote ni wapiga kelele tu boss
Kuwa na fikra huru, fikra tumizwi hazikusaidii kuonesha uanadamu wako.
 
Back
Top Bottom