DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
1. Nani alikuambia Tanzania hatupo huru?Uhuru wa nchi,democrasia ya nchi na ustawi wa nchi na wananchi.
2. Demokrasia waanze kupigania kwanza kwenye chama chao kinacho ongozwa kidictator kwa mgongo wa demokrasia.
3. Ustawi waanze kwanza kwenye chama chao viongozi waache kujilimbikizia Mali huku chama kikosa hata ofisi ya maana[ Ofisi ipo Kama nyumba ya wageni{ Guest House } na wakati ni chama kikubwa tu hapa nchi chenye zaidi ya miaka 30 kinakosa makao makuu yaliyo bora na viongozi wake wakijaza matumbo tu kwa kujilimbikizia Mali].