Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
1. Uhuru gani Chadema inapigania?Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa.
Kama hujui haya basi pole sana1. Uhuru gani Chadema inapigania?
2. Demokrasia gani Chadema inapigania ?
3. Heshima gani Chadema inapigania ?
4. Ustawi gani wa Tanzania Chadema inapigania?
Naomba ujibu maswali Kama yalivyo ulizwa Kama hauwezi, wacha wengine wanaoweza waje wajibu.Kama hujui haya basi pole sana
Wewe matamko yao si ulikuwa unayapinga kwa nguvu zako zote? Unataka matamko gani tena? Zinduka hujioni kama wewe ni zombi?Kipindi cha nyuma CHADEMA hiyohiyo iliaminisha watu kwamba suluhisho la matatizo yao ni KATIBA MPYA. Sasa baada ya viongozi wote wa CHADEMA kulambishwa asali, wameufyata hadi waliopo nje ya nchi. Kwa wale tunaobet hiyo inaitwa BOTH TEAM TO SCORE maarufu kama GG. Hakuna Cha CHADEMA wala upinzani tena. Wote wameufyata wanalamba asali. No more matamkos..[emoji6][emoji848]
Msukule mwingine huu hapa!!!1. Uhuru gani Chadema inapigania?
2. Demokrasia gani Chadema inapigania ?
3. Heshima gani Chadema inapigania ?
4. Ustawi gani wa Tanzania Chadema inapigania?
Hilo ndilo jibu la hayo maswali manne[ 4 ] niliyo uuliza ?Msukule mwingine huu hapa!!!
Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa.
Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu anayepigania wengine kuwa huru. Ndiyo maana haishangazi kwa Mwarabu ama Mzungu mmoja aliweza kuwafanya maelfu ya mababu zetu kuwa watumwa kwa msaada wa mababu zetu wengine.
Inashangaza watu kuacha kupambana na CCM inayowasababishia ujinga, maradhi na umaskini badala yake wanapambana na CHADEMA inayopigania Uhuru, Heshima na Demokrasia ya Watanzania.
Kwa nini unaipinga CHADEMA?
Wenye pepo wabaya hawapendi wengine waendelee. This is AfrikaWakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa.
Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu anayepigania wengine kuwa huru. Ndiyo maana haishangazi kwa Mwarabu ama Mzungu mmoja aliweza kuwafanya maelfu ya mababu zetu kuwa watumwa kwa msaada wa mababu zetu wengine.
Inashangaza watu kuacha kupambana na CCM inayowasababishia ujinga, maradhi na umaskini badala yake wanapambana na CHADEMA inayopigania Uhuru, Heshima na Demokrasia ya Watanzania.
Kwa nini unaipinga CHADEMA?
Sukuma gang at workChadema haiwezi kupigania ustawi wa nchi kabla ya kupigania ustawi wake yenyewe!!! Yenyewe tu Haina ustawi ,,wanabaguana Kwa ukanda ,ving'ang'anizi wa madaraka ,ni watu wa mihemuko na hawana ajenda yoyote, kama Kuna chama hakitakuja kushika Dola milele basi ni chadema ,,,labda ubunge na udiwani....hata huyo mnamwita Antipas Hana haiba ya kuwa rais wa nchi .labda anafaa tu kuwa mwanaharakati ,na mtetezi wa haki binadamu kisheria ,,mtu mwenye haiba ya kuwa rais kwenye chama chenu ..ni Lazaro nyalandu , salum mwalimu basi wengine wote ni wapiga kelele tu boss
HeheeeMsukule mwingine huu hapa!!!
Umemaliza kila kituChadema inaungwa mkono na watanzania isipokuwa waliomo ndani ya ccm wanakula na kusaza
Kuna watu wanaandika ili waonekane tu🤣🤣Kama hujui haya basi pole sana