CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

Naona unaongea vitu usivyo ifahamu wala kuwa na uelewa navyo. Na inapaswa kuachwa gizani hivyo hivyo
Wewe uko huko kama chawa.

Mimi Nina nafasi usiyo ijua. Katibu wa kata 10,000/ kwa mwezi, katibu wa TAWI 5,000/ kwa mwezi, mwenyekiti wa wilaya 50,000 kwa mwezi, mwenyekiti wa mkoa 100,000 kwa mwezi. Wajumbe wote hakuna malipo Kwa Kwa mwezi.
 
Naona kuna mtu alikukalilisha na kukudanganya viwango vya wakati wa chama kimoja huko.
 
Lucas achana na uchawa njoo tulee familia
Usijali waridi wa moyo wangu. Nilikuwa nawapa ukweli tu wafuasi wa chama hiki.maana huwa hawaelewi chochote kile juu ya chama chao zaidi ya kukaririshwa na kuimbishwa vitu kama makasuku.
 
Leo ni jumma Mubarak ndugu zangu twende masjid tukawaswalie viongozi wa dini. Amiin 😃
 
Kwa kutumia akili mnembo hizo pesa ni ndogo sana, tuanze na swali fikirishi je chadema Wana mashine katika wilya zote?, Gharama za uendeshaji wa ofisi wilayani zikoje tathimini ifanyike kwa wilaya zote za Tanzania
 
ccm imepora mali za uma na kufanya za kwao.
hizi ofisi za ccm na majumba mbalimbali pamoja na viwanja vya wazi na vya michezo vilijengwa kwa michango ya wananchi au serikali wakati wa chama kimoja. Baada ya vyama vingi mali hizo hazikurudi kwa wananchi.
50% ya mapato yote ya nchi hii yanaliwa na genge linalojiita ccm.
Hakuna kisicho na mwisho hapa duniani, stay tunes, Mungu naye anaona!
 
Kwa kutumia akili mnembo hizo pesa ni ndogo sana, tuanze na swali fikirishi je chadema Wana mashine katika wilya zote?, Gharama za uendeshaji wa ofisi wilayani zikoje tathimini ifanyike kwa wilaya zote za Tanzania
Umewahi kufiki kwenye wilaya mbalimbali ukajionea zinazoitwa ofisi za CHADEMA?
 
Mimi nataka uache mambo ya CCM na CHADEMA
Tubaki kwenye kilimo tu
Kilimo tutaendelea nacho lakini ukumbuke ephen wangu wa peke yangu kuwa ni wanasiasa ndio wanapanga hadi bei ya mazao, hadi namna ya kuuza mazao yako hadi bei ya kununua mbolea,hadi mahali pa kuuza. Huoni kuwa una kila sababu ya kuniunga mkono lazizi ili tuwe karibu na jikoni .
 
Achana kabisa na CCM Chama kiongozi barani Afrika chenye maendeleo chungu nzima na miradi ya kila aina kwa kutumia pesa zake halali. CCM Ina shule kibao,vyombo vya habari,fremu au vibanda vya biashara,viwanja vya michezo n.k.

..kama Ccm ina vyanzo vyote hivyo vya mapato kwanini inatukamua BILLIONI 3 kila mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…