Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wewe binafsi unaiona 107M kama ruzuku inayotosha? Tuache siasa na tofauti za kiitikadi - tuseme ukweli.Mbona walipokuwa wanapokea Ruzuku kubwa napo hali ilikuwa mbaya kwenye ofisi za mikoa na wilaya? Hata wangepokea kiasi gani bado wataoni ni ndogo tu.