CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
107M kwa mwezi ni kiasi kidogo sana kwa taaasisi kubwa. Hizi zinaweza kumtosha Hashim Rungwe lkn CDM, ACT na CUF ni ndogo mno.
  • Makao Mkauu
  • Kanda
  • Mikoa
  • Wilaya lzm zipungue sana
 
Mbona walipokuwa wanapokea Ruzuku kubwa napo hali ilikuwa mbaya kwenye ofisi za mikoa na wilaya? Hata wangepokea kiasi gani bado wataoni ni ndogo tu.
 
Lukasi hiyo kumbuka sii fadhila wala hongo,hivyo yatafanyika kulingana na maono na mipango ya chama husika haifai kuwalisha maneno kwa manufaa ya yeyote 😀
 
CCM inakomba za bungeni na za hazina, inalitia umasikini taifa, nchi badala ya kutuhudumia wananchi inaihudumia CCM!
 
Hapa kuna chawa wanafikiria kutungwa sheria za kuwanyamazisha mnao wapigia kelele wakwibaji😅
 
Lukasi hiyo kumbuka sii fadhila wala hongo,hivyo yatafanyika kulingana na maono na mipango ya chama husika haifai kuwalisha maneno kwa manufaa ya yeyote 😀
Hivi wewe ukiiangalia unaona kuna maoni na mipango ya aina yoyote ile iliyonayo CHADEMA? Kama ilishindwa kutekeleza maoni na mipango hiyo ikiwa inapokea mamillioni ya Ruzuku ni vipi itaweza kwa sasa?
 
Lukasi hiyo kumbuka sii fadhila wala hongo,hivyo yatafanyika kulingana na maono na mipango ya chama husika haifai kuwalisha maneno kwa manufaa ya yeyote 😀
Hivi wewe ukiiangalia unaona kuna maoni na mipango ya aina yoyote ile iliyonayo CHADEMA? Kama ilishindwa kutekeleza maoni na mipango hiyo ikiwa inapokea mamillioni ya Ruzuku ni vipi itaweza kwa sasa?
 
CCM inakomba za bungeni na za hazina, inalitia umasikini taifa, nchi badala ya kutuhudumia wananchi inaihudumia CCM!
Kwamba hapo ulipo mtaani kwako hujaona umeme ukiwaka? Maji yakitoka mabombani? Barabara zikikarabatiwa na kuwekwa lami? Madarasa yakijengwa? Zahanati na vituo vya afya vikijengwa? Elimu ikitolewa bure kwa wanafunzi wa sekondari? Hujaona yote haya? Unafikiri ni nani amefanikisha hayo kama siyo CCM? Ni CCM Ndio imeafaya hayo yote mazuri kwa upendo wake kwa watanzania.
 
Hivi wewe ukiiangalia unaona kuna maoni na mipango ya aina yoyote ile iliyonayo CHADEMA? Kama ilishindwa kutekeleza maoni na mipango hiyo ikiwa inapokea mamillioni ya Ruzuku ni vipi itaweza kwa sasa?
Wewe zingatia mipango yenu acha na wao wazingatie mipango yao halafu wapime kwa matokeo.
 
Kwa ulichokiandika ni wazi hauna akili, ni mjinga.j
Nimeishi Jacaranda toka kabla ya uhuru barabara ni ya lami, umeme na maji vipo na nilisoma N A Middle School maji yalikuwepo na mabweni, vitanda na mablanketi, japo CCM wameii a hiyo shule na kuifanya yao! Mwizi ni mwizi tu.
 
Wewe zingatia mipango yenu acha na wao wazingatie mipango yao halafu wapime kwa matokeo.
Mipango gani waliyo nayo CHADEMA? Kwani huoni kuwa chama kinaendelea kudhoofika na kupoteza mitaaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…