Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 May 25, 2024 #121 Lucas Mwashambwa said: Mbona walipokuwa wanapokea Ruzuku kubwa napo hali ilikuwa mbaya kwenye ofisi za mikoa na wilaya? Hata wangepokea kiasi gani bado wataoni ni ndogo tu. Click to expand... Wewe binafsi unaiona 107M kama ruzuku inayotosha? Tuache siasa na tofauti za kiitikadi - tuseme ukweli.
Lucas Mwashambwa said: Mbona walipokuwa wanapokea Ruzuku kubwa napo hali ilikuwa mbaya kwenye ofisi za mikoa na wilaya? Hata wangepokea kiasi gani bado wataoni ni ndogo tu. Click to expand... Wewe binafsi unaiona 107M kama ruzuku inayotosha? Tuache siasa na tofauti za kiitikadi - tuseme ukweli.