johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo lenu waafrika ni kutaka kuaminisha watu vitu ambavyo havipo kama vile kuwaaminisha Watanzania timu yao ya Taifa kuchukua kombe la DuniaWakati wenu wakina Pangu pakavu tia mchuzi umefika tamati
Tafuteni kazi halali sasa
Mkuu, Hawa ni ndugu/jamaa/marafiki/chawa wa yale makapi ya mwendazake yaliyopewa kibabe ubunge na dikteta. Sasa yanatapatapa yanapoona Moto mkali wa chadema.Sasa Hivi Mmepotea Mnatama Zuio Fake Lirudishwe Mpate Kupumua
Hata yule tapeli Mwamposa alijaza uwanja wa Mkapa,CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu
Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia
CCM Umoja ni Nguvu!
Inahitaji ujuha wa hali ya juu san kulinganisha.. mahudhurio ya kuapishwa kwa Rais na kifo cha Rais!! Hii ndio inafanya niamin ile kauli.. ukiingia CCM cha kwanza unatolewa ubongo na kuhifadhiwa kabati la pale Lumumba mpaka utapotoka ndipo unarudishiwa ubongo wako ✔️CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu
Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia
CCM Umoja ni Nguvu!
Myalukolo, soma historia ya Urusi. Hakuna kiongozi wa Urusi ambaye mikutano yake, misafara yake mpaka mazishi yake, ilihudhuriwa na maelfu, malaki na mamilioni ya watu kama dikteta Stallin. Wakati wa msiba wa Stallin, inakaduriwa watu wapatao zaidi ya 2,000 walikufa jwa kukanyagana.CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu
Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia
CCM Umoja ni Nguvu!
Kwenye mikutano ya CCM watu wanakuja kuwaona wasanii kina Mondi,Kondeboy na wengineo wala hawakuwa wanafuata yule mwendakuzimuCHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.
Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.
CCM Umoja ni Nguvu!
Vipi na wanachama wenye kadi za ccm nao wqnachukua kwa ajili ya mind!?Kwenye mikutano ya CCM watu wanakuja kuwaona wasanii kina Mondi,Kondeboy na wengineo wala hawakuwa wanafuata yule mwendakuzimu
Kwani jana ilikuwa Mkutano wa Kampeni?CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.
Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.
CCM Umoja ni Nguvu!
Mikutano ni ya hadhara,"Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia"
KUANZIA LEO nimegundua kumbe sifa za weledi unazopewa ni za bandia. Unaita watu wanaotumia Uhuru wao kuhudhuria mikutano kuwa ni watu wa "ajabu ajabu?" Kweli wewe ndo wa maana kuliko watu zaidi ya elfu 3?