CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
 
Acheni propagada za kijinga ,watu wameona kwenye picha ,TV zimeonyesha kwenye taarifa ,idadi ya watu imeonekana ,yanini kuleta propaganda za kipuuzi?

Kama unapotosha waziwazi what if ukileta mada serious unataka wakuchukuliaje? Acheni cheap politics.
 
Wakati wenu wakina Pangu pakavu tia mchuzi umefika tamati

Tafuteni kazi halali sasa
Tatizo lenu waafrika ni kutaka kuaminisha watu vitu ambavyo havipo kama vile kuwaaminisha Watanzania timu yao ya Taifa kuchukua kombe la Dunia
 
Sasa Hivi Mmepotea Mnatama Zuio Fake Lirudishwe Mpate Kupumua
Mkuu, Hawa ni ndugu/jamaa/marafiki/chawa wa yale makapi ya mwendazake yaliyopewa kibabe ubunge na dikteta. Sasa yanatapatapa yanapoona Moto mkali wa chadema.

Na bado, mzee wa spana anatua kesho kutwa pale JKNA. Haya makapi na chawa wao yataoza kabisa.
 
Chadema is a failed political party.

Nadhani mojawapo ya makubaliano yao ya marudiano ni kuiacha serikali ya awamu ya 6 na kuishambulia serikali ya awamu ya 5.

Mbowe anatumia nguvu nyingi sana kutaka kutuaminisha kwamba hajalamba asali.

Leo mchele kilo ni 4,500, hii sio Magufuli kasababisha kua hivi, ni serikali ya awamu ya 6. Hawati kusema hayo ambayo yanawagusa wananchi wao ni kumponda Magufuli tu.

Miaka 2 ijayo itaisha wanaendelea kumpinda Magufuli huku hoja za msingi zinazogusa wananchi wakizipuuza kwa faida ya wanaccm halafu kwenye uchaguzi wakishikishwa ukuta waseme wameibiwa kura.

2025 ccm itawashikisha ukuta tena halafu walaumu tume.
 
"Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia"

KUANZIA LEO nimegundua kumbe sifa za weledi unazopewa ni za bandia. Unaita watu wanaotumia Uhuru wao kuhudhuria mikutano kuwa ni watu wa "ajabu ajabu?" Kweli wewe ndo wa maana kuliko watu zaidi ya elfu 3?
 
Aisee?! Nchi hii kuna wananchi wa ajabuajabu?

Ni wakati gani mnawaita wananchi ''wapiga kura wetu'' ?! Na ni wakati gani wanakuwa 'watu wa ajabuajabu'?!
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia

CCM Umoja ni Nguvu!
Hata yule tapeli Mwamposa alijaza uwanja wa Mkapa,

Jiwe alitumia wasanii wote Tanzania na wala hakujaza

Matapeli wana uwezo mkubwa sana wa kuvutia watu
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia

CCM Umoja ni Nguvu!
Inahitaji ujuha wa hali ya juu san kulinganisha.. mahudhurio ya kuapishwa kwa Rais na kifo cha Rais!! Hii ndio inafanya niamin ile kauli.. ukiingia CCM cha kwanza unatolewa ubongo na kuhifadhiwa kabati la pale Lumumba mpaka utapotoka ndipo unarudishiwa ubongo wako ✔️
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia

CCM Umoja ni Nguvu!
Myalukolo, soma historia ya Urusi. Hakuna kiongozi wa Urusi ambaye mikutano yake, misafara yake mpaka mazishi yake, ilihudhuriwa na maelfu, malaki na mamilioni ya watu kama dikteta Stallin. Wakati wa msiba wa Stallin, inakaduriwa watu wapatao zaidi ya 2,000 walikufa jwa kukanyagana.

Uganda hapo, hakuna Rais ambaye aliwahi kubebwa na wananchi zaidi ya Id Amin Dada. Mikutano na misafara ya Id Amin, elihudhuruwa na watu wengi kuliko marais wote licha ya kwamba wakati huo Waganda walikywa wachache kuliko sasa.

Viongozi madikteta kwa kawaida kupambwa sana, huogopwa na wakati wa nyakati zao iwe ni kwa hofu au unafiki, kila mmoja anataka aonekane ili au awe salama au apate upendeleo. Madikteta huwa Na mbwembwe huwa ni nyingi, na huzo mbwemvwe pia huwa ni kivutio tosha cha kila mtu kutaka kwenda kuangalia.

Madikteta wote huprnda sifa na kupambwa. Kwa hiyo watu wa chini yao hufanya kila jitihada ili waonekane wamefanya makubwa kumridhisha dikteta. Unakumbukwa wakati ule mpaka kulikuwa na barua zinaandikwa kwa wakuu wa taasisi wahakikise wafanyakazi wa chini yao wanahudhurua mikutano ya Rais bila kukosa?
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
Kwenye mikutano ya CCM watu wanakuja kuwaona wasanii kina Mondi,Kondeboy na wengineo wala hawakuwa wanafuata yule mwendakuzimu
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
Kwani jana ilikuwa Mkutano wa Kampeni?
 
"Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia"

KUANZIA LEO nimegundua kumbe sifa za weledi unazopewa ni za bandia. Unaita watu wanaotumia Uhuru wao kuhudhuria mikutano kuwa ni watu wa "ajabu ajabu?" Kweli wewe ndo wa maana kuliko watu zaidi ya elfu 3?
Mikutano ni ya hadhara,

CCM pia wamehudhuria mikutano hiyo,

Siasa Si uadui,

Wakiandaa CCM mikutano wapo Wana CDM makini watakaohudhuria.

Tusisahau Hilo.
 
Back
Top Bottom