CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

Uwanja wa shule ya Msingi ni level ya Mkutano wa diwani
 
Ongeza uwezo wako wa kupambanua mambo,

Ukishaitwa mkutano wa hadhara, hawahudhurii CDM pekeao,

CCCM wanahudhuria ilimradi tu wasivae sare zao, pia wasio na vyama huudhuria.

Maana Si lazima uwe na chama ndo ushiriki siasa.

CHADEMA imepokelewa na wananchi wengi ambao wengi wao Si Wanachama wao ndomana Mbowe alisikika akiwasihi waende kujisajili, CHADEMA digital.
 
miaka saba uwanja ulikuwa wenu peke yenu, wenzenu ndiyo wameruhusiwa, siku moja tu wamekusanyana tayari mmeanza kuweweseka
 
Chanzo cha matatizo hayo yote ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 chini ya Dikteta Magufuri.
 
Akili ndogo shida sana lini Chadema Wamewahi kufanyia Mikutano uwa ja wa Mkapa wakashindwa Kuujaza?Viwanja vya UMMA vyote ccm imeviteka na Wanaogopa kuiruhusu CHADEMA kufanyia Mikutano kwa HOFU ya WANANCHI KUFURIKA
 
Kwahiyo wasanii Wote ni Sawa na Chadema?
Ni zaidi ya Chadema, ni zaidi ya CCM pia
Wananchi hawafuati content, wanafuata burudani na miujiza

Kama hujui fuatilia hapa JF, nyuzi zenye wachangiaji wengi ni zile za mapenzi au simulizi za hadithi, sio hotuba za wanasiasa
 
Naona Mwenyekiti kaamka na stori eti Magufuli hakuzuia mikutano Pekee yake ni Chama chake kwa ujumla. Sijui bando limekaga. Mwenyekiti Kuna Kitu hakipo sawa
 

CDM haihitaji wanafunzi ili kuhadaa umma kuwa ina watu wa kujaza uwanja.
 
Wote ni wa ajabu hadi wewe unae fatilia mikutano ya CDM, maana usinge kuwa wa ajabu ungekuwa busy kujenga chama chako
 
Hadi BBc walise watu walijaa na tuliona kwenya television harafu wewe unamdanganya kwamba waliohudhuria pale walikuwa wachache!
Tafuta kazi nyingine achana na Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…