CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

Acheni propagada za kijinga ,watu wameona kwenye picha ,TV zimeonyesha kwenye taarifa ,idadi ya watu imeonekana ,yanini kuleta propaganda za kipuuzi?

Kama unapotosha waziwazi what if ukileta mada serious unataka wakuchukuliaje mzee mgaya? Acheni cheap politics.
Uwanja wa shule ya Msingi ni level ya Mkutano wa diwani
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
Ongeza uwezo wako wa kupambanua mambo,

Ukishaitwa mkutano wa hadhara, hawahudhurii CDM pekeao,

CCCM wanahudhuria ilimradi tu wasivae sare zao, pia wasio na vyama huudhuria.

Maana Si lazima uwe na chama ndo ushiriki siasa.

CHADEMA imepokelewa na wananchi wengi ambao wengi wao Si Wanachama wao ndomana Mbowe alisikika akiwasihi waende kujisajili, CHADEMA digital.
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
miaka saba uwanja ulikuwa wenu peke yenu, wenzenu ndiyo wameruhusiwa, siku moja tu wamekusanyana tayari mmeanza kuweweseka
 
Chadema is a failed political party.

Nadhani mojawapo ya makubaliano yao ya marudiano ni kuiacha serikali ya awamu ya 6 na kuishambulia serikali ya awamu ya 5.

Mbowe anatumia nguvu nyingi sana kutaka kutuaminisha kwamba hajalamba asali.

Leo mchele kilo ni 4,500, hii sio Magufuli kasababisha kua hivi, ni serikali ya awamu ya 6. Hawati kusema hayo ambayo yanawagusa wananchi wao ni kumponda Magufuli tu.

Miaka 2 ijayo itaisha wanaendelea kumpinda Magufuli huku hoja za msingi zinazogusa wananchi wakizipuuza kwa faida ya wanaccm halafu kwenye uchaguzi wakishikishwa ukuta waseme wameibiwa kura.

2025 ccm itawashikisha ukuta tena halafu walaumu tume.
Chanzo cha matatizo hayo yote ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 chini ya Dikteta Magufuri.
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
Akili ndogo shida sana lini Chadema Wamewahi kufanyia Mikutano uwa ja wa Mkapa wakashindwa Kuujaza?Viwanja vya UMMA vyote ccm imeviteka na Wanaogopa kuiruhusu CHADEMA kufanyia Mikutano kwa HOFU ya WANANCHI KUFURIKA
 
Kwahiyo wasanii Wote ni Sawa na Chadema?
Ni zaidi ya Chadema, ni zaidi ya CCM pia
Wananchi hawafuati content, wanafuata burudani na miujiza

Kama hujui fuatilia hapa JF, nyuzi zenye wachangiaji wengi ni zile za mapenzi au simulizi za hadithi, sio hotuba za wanasiasa
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!
Naona Mwenyekiti kaamka na stori eti Magufuli hakuzuia mikutano Pekee yake ni Chama chake kwa ujumla. Sijui bando limekaga. Mwenyekiti Kuna Kitu hakipo sawa
 
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.

Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa wakati anaapishwa na hata alipokuwa marehemu.

Siasa za Chadema ni za ajabu sana na wanaohudhuria Mikutano yao ni Watu wa ajabu ajabu pia.

CCM Umoja ni Nguvu!

CDM haihitaji wanafunzi ili kuhadaa umma kuwa ina watu wa kujaza uwanja.
 
Wote ni wa ajabu hadi wewe unae fatilia mikutano ya CDM, maana usinge kuwa wa ajabu ungekuwa busy kujenga chama chako
 
Hadi BBc walise watu walijaa na tuliona kwenya television harafu wewe unamdanganya kwamba waliohudhuria pale walikuwa wachache!
Tafuta kazi nyingine achana na Chadema.
 
Back
Top Bottom