johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Uwanja wa shule ya Msingi ni level ya Mkutano wa diwaniAcheni propagada za kijinga ,watu wameona kwenye picha ,TV zimeonyesha kwenye taarifa ,idadi ya watu imeonekana ,yanini kuleta propaganda za kipuuzi?
Kama unapotosha waziwazi what if ukileta mada serious unataka wakuchukuliaje mzee mgaya? Acheni cheap politics.