Chadema inaweza kuja kushika madaraka, humo humo miongoni mwao watajasema hapana, haitufahai

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu.

Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya mambo si ya kuyabeba kiwepesi wepesi!?

Nature ya mwanadamu ya kutoridhika haiishi kamwe itaendelea kusimama kila wakati.

Asili ya kuona tunaibiwa haiwezi kuisha kwa mwanadamu.

Asili ya kumuogopa dreva anayekuendesha na kuona anakosea asije leta ajali haiwezi kuisha IPO?

Serikali ni lazima iwe kali sana dhidi ya kila ujinga, ili kulinda taifa hili.

-->>kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
 
NI LAZIMA SEREKALI IWE KALI SANA / HAWA WANAHARAKATI VIBWENGO WAKIFANIKIWA TU,TAIFA LINAKWENDA KUVURUGIKA / LEO ATAFANIKIWA CHADEMA KUSHIKA NCHI,HUU NI MFANO TU, WANAHARAKATI WALEWALE WATAONA HAPANA WATAANZISHA HARAKATI NYINGINE MPYA / KWA UFADHILI MPYA WA MABEBERU!?,JE HATUJAWA DRC? / HAYA MAMBO SI YA KUYABEBA KIWEPESI WEPESI!?,...
#NATURE YA MWANADAMU YA KUTORIDHIKA HAIISHI KAMWE ITAENDELEA KUSIMAMA KILA WAKATI/
#ASILI YA KUONA TUNAIBIWA HAIWEZI KUISHA KWA MWANADAMU
#ASILI YA KUMUOGOPA DREVA ANAYEKUENDESHA NA KUONA ANAKOSEA ASIJE LETA AJALI HAIWEZI KUISHA IPO?
#SEREKALI NI LAZIMA IWE KALI SANA DHIDI YA KILA UJINGA,ILI KULINDA TAIFA HILI.
-->>Kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Lipenda rushwa na jizi nalo linapost
 
Unajua maana ya DEMOKRASIA kweli?

Yeyote aliyepo MADARAKANI akivurunda anakosolewa

Wanaharakati kazi yao ni kupogania HAKI dhidi ya Watawala……. So yes CDM ikichukua nchi na wakaanza kuvurunda wanaharakati watakosoa vikali
 
Usipoteze muda wako, hawa mboga mboga uwezo wao wa kuelewa mambo ya msingi kama haya ni mdogo sana.
 
NI LAZIMA SEREKALI IWE KALI SANA / HAWA WANAHARAKATI VIBWENGO WAKIFANIKIWA TU,TAIFA LINAKWENDA KUVURUGIKA / LEO ATAFANIKIWA CHADEMA KUSHIKA NCHI,HUU NI MFANO TU, WANAHARAKATI WALEWALE WATAONA HAPANA WATAANZISHA HARAKATI NYINGINE MPYA / KWA UFADHILI MPYA WA MABEBERU!?,JE HATUJAWA DRC? / HAYA MAMBO SI YA KUYABEBA KIWEPESI WEPESI!?,...
#NATURE YA MWANADAMU YA KUTORIDHIKA HAIISHI KAMWE ITAENDELEA KUSIMAMA KILA WAKATI/
#ASILI YA KUONA TUNAIBIWA HAIWEZI KUISHA KWA MWANADAMU
#ASILI YA KUMUOGOPA DREVA ANAYEKUENDESHA NA KUONA ANAKOSEA ASIJE LETA AJALI HAIWEZI KUISHA IPO?
#SEREKALI NI LAZIMA IWE KALI SANA DHIDI YA KILA UJINGA,ILI KULINDA TAIFA HILI.
-->>Kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Naunga mkono hoja GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
P
 
NI LAZIMA SEREKALI IWE KALI SANA / HAWA WANAHARAKATI VIBWENGO WAKIFANIKIWA TU,TAIFA LINAKWENDA KUVURUGIKA / LEO ATAFANIKIWA CHADEMA KUSHIKA NCHI,HUU NI MFANO TU, WANAHARAKATI WALEWALE WATAONA HAPANA WATAANZISHA HARAKATI NYINGINE MPYA / KWA UFADHILI MPYA WA MABEBERU!?,JE HATUJAWA DRC? / HAYA MAMBO SI YA KUYABEBA KIWEPESI WEPESI!?,...
#NATURE YA MWANADAMU YA KUTORIDHIKA HAIISHI KAMWE ITAENDELEA KUSIMAMA KILA WAKATI/
#ASILI YA KUONA TUNAIBIWA HAIWEZI KUISHA KWA MWANADAMU
#ASILI YA KUMUOGOPA DREVA ANAYEKUENDESHA NA KUONA ANAKOSEA ASIJE LETA AJALI HAIWEZI KUISHA IPO?
#SEREKALI NI LAZIMA IWE KALI SANA DHIDI YA KILA UJINGA,ILI KULINDA TAIFA HILI.
-->>Kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Hivi Ghana, Zambia, Kenya au Malawi ruling parties zilipopigwa chini umewahi kujiuliza kwanini huwa hazirudi madarakani? Watu hubaini kuwa walikuwa gizani hivyo hizo ngonjera ulizoweka hapa definitely they're just meant for fools, anyone sensible and with reasoning capabilities can't be brainwashed by fake narratives and misleading storyline.
 
Chadema ikishika madaraka chini ya katiba hii nyinyi ndio mtakuwa wanaharakati wa kudai katiba mpya
Ni kama waUrojo walivyokuwa wanatoa milio na mishuzi, sasa awamu hii ya sita kimya kule milio inasikika Tanganyika, bila katiba mpya tutauana sana. MKwele kamnong'oneza ati subirisha mchakato karibu ya ufukweni japo picha halisomeki, Mana hoja kuu, katiba mpya kama inakaa ss hv isitumike kumzogoa bibi akiwa kitini.
Hofu yangu kuna wahuni wengine huko ccm wataibuka na yao soon
 
NI LAZIMA SEREKALI IWE KALI SANA / HAWA WANAHARAKATI VIBWENGO WAKIFANIKIWA TU,TAIFA LINAKWENDA KUVURUGIKA / LEO ATAFANIKIWA CHADEMA KUSHIKA NCHI,HUU NI MFANO TU, WANAHARAKATI WALEWALE WATAONA HAPANA WATAANZISHA HARAKATI NYINGINE MPYA / KWA UFADHILI MPYA WA MABEBERU!?,JE HATUJAWA DRC? / HAYA MAMBO SI YA KUYABEBA KIWEPESI WEPESI!?,...
#NATURE YA MWANADAMU YA KUTORIDHIKA HAIISHI KAMWE ITAENDELEA KUSIMAMA KILA WAKATI/
#ASILI YA KUONA TUNAIBIWA HAIWEZI KUISHA KWA MWANADAMU
#ASILI YA KUMUOGOPA DREVA ANAYEKUENDESHA NA KUONA ANAKOSEA ASIJE LETA AJALI HAIWEZI KUISHA IPO?
#SEREKALI NI LAZIMA IWE KALI SANA DHIDI YA KILA UJINGA,ILI KULINDA TAIFA HILI.
-->>Kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Acha uoga kuna nini unaficha mzee ? kimbia kama vipi
 
***** kanyonye uchi wa Màlaya Samia mbwa takataka wwe
 
Tena ngoja nikupige ignore, pigeni hili ***** ignore .Hawa machoko hawafai hata kusoma usenge wao ,acha waanzishe mada za kipuuzi wajibizane wenyewe kama misukules
 
Jamaa unaishi kwenye siasa za propaganda za miaka ya 1990 kurudi nyuma.
CCM walikuwa wanawaongopea na kuwatisha wananchi kuwa vyama vyingi au vya mageuzi kwa wakati huo eti vikichukua madaraka vitaleta vita.
 
Back
Top Bottom