Chadema inaweza kuja kushika madaraka, humo humo miongoni mwao watajasema hapana, haitufahai

Chadema inaweza kuja kushika madaraka, humo humo miongoni mwao watajasema hapana, haitufahai

Dalili za mtu ya kuwa atakuwa dictator ni zipi?, obviously hakuna dalili au kiashiria chochote!,wengi walikuwa na lugha tamu zenye matumaini kwa mataifa yao!.....
Dalili kuu ni Iow Iq ; Wananchi wanamtaka mtu mwenye uthubutu, wakimuamini kuwa atathubutu kuwasaidia; kimbembe kinakuja pale low Iq inapoongoza iq kubwa. Nguvu ya dola itatumika
  • kunyamazisha (high Iq) wapingai, wakosoaji
  • mifumo yote italazimishwa kufuata mfumo tete wa lo iq
-lazima chawa WAJITOKEZE KUTETEA MFUMO
Angalia dictotor wote wana hii kitu. na Chama kama ccm ya sasa haina uwezo wa kuchuja hawa viumbe wasichukue madaraka.
Ningeambiwa mimi nitoe Kigezo; Ningeshauri kwenye katiba[pamoja na tume huru] lazima wagombea urais wapitie kwenye MDAHALO WA UMMA mahsusi tusome Iq zao kabla ya kupiga kula. Ccm waliondoa hii kitu kwa manufaa yao ili Kikwete, Magufuri wavuke na pia Sa100 alivuka chujio hili.
Amini usiamini Kikwete Iq yake ni kubwa kuliko Magufuri ndio mana aliweza kutawala Taifa kwa utulivu flan. [Ushkaji ndio ulimsumbua]
Urais kwa low iq person ni majanga! kwa Taifa
 
Kutesa kwa zamu bhana, kiukweli mboga mboga tumewachoka, we need new radha
 
Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu.

Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya mambo si ya kuyabeba kiwepesi wepesi!?

Nature ya mwanadamu ya kutoridhika haiishi kamwe itaendelea kusimama kila wakati.

Asili ya kuona tunaibiwa haiwezi kuisha kwa mwanadamu.

Asili ya kumuogopa dreva anayekuendesha na kuona anakosea asije leta ajali haiwezi kuisha IPO?

Serikali ni lazima iwe kali sana dhidi ya kila ujinga, ili kulinda taifa hili.

-->>kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Ndiyo maana siku zote tumekuwa tukisema tujenge misingi imara ya kuendesha nchi kupitia katiba na sheria mbalimbali zitakazo tanguliza maslahi ya nchi kwanza, then vyama na watu binafsi waondolewe. Katiba itakayoweka misingi imara ya kusimamia raslimali za Taifa,misingi ya kuwafanya watu wote kuwa chini ya sheria, misingi itakayodhibiti wizi, rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, nk.

Kwa kufanya hivi, hata siku nchi ikiongozwa na Chadema, bado maslahi ya nchi yatapewa kipaumbele, kukiko ilivyo sasa ambako maslahi ya CCM na vigogo wake wachache ndiyo hupewa kipaumbele kuliko maslahi ya nchi na watu wake.
 
Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu.

Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya mambo si ya kuyabeba kiwepesi wepesi!?

Nature ya mwanadamu ya kutoridhika haiishi kamwe itaendelea kusimama kila wakati.

Asili ya kuona tunaibiwa haiwezi kuisha kwa mwanadamu.

Asili ya kumuogopa dreva anayekuendesha na kuona anakosea asije leta ajali haiwezi kuisha IPO?

Serikali ni lazima iwe kali sana dhidi ya kila ujinga, ili kulinda taifa hili.

-->>kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Hapo Kenya wakati KANU inaendesha nchi hiyo kwa mabavu, walikuwepo wapuuzi wa wa aina yako wakisema siku KANU ikitoka madarakani Kenya itayumba, leo hii wanaona aibu utabiri wao ukiwekwa hadharani. Na kwa hapa kwetu hatushangai wajinga wa aina yako wanaofaidika binafsi na uwepo wa serekali hii mkija na haya maangalizo uchwara.
 
#Mama jusi tumesimama pale!
 
Back
Top Bottom