Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Dalili kuu ni Iow Iq ; Wananchi wanamtaka mtu mwenye uthubutu, wakimuamini kuwa atathubutu kuwasaidia; kimbembe kinakuja pale low Iq inapoongoza iq kubwa. Nguvu ya dola itatumikaDalili za mtu ya kuwa atakuwa dictator ni zipi?, obviously hakuna dalili au kiashiria chochote!,wengi walikuwa na lugha tamu zenye matumaini kwa mataifa yao!.....
Ndiyo maana siku zote tumekuwa tukisema tujenge misingi imara ya kuendesha nchi kupitia katiba na sheria mbalimbali zitakazo tanguliza maslahi ya nchi kwanza, then vyama na watu binafsi waondolewe. Katiba itakayoweka misingi imara ya kusimamia raslimali za Taifa,misingi ya kuwafanya watu wote kuwa chini ya sheria, misingi itakayodhibiti wizi, rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, nk.Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu.
Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya mambo si ya kuyabeba kiwepesi wepesi!?
Nature ya mwanadamu ya kutoridhika haiishi kamwe itaendelea kusimama kila wakati.
Asili ya kuona tunaibiwa haiwezi kuisha kwa mwanadamu.
Asili ya kumuogopa dreva anayekuendesha na kuona anakosea asije leta ajali haiwezi kuisha IPO?
Serikali ni lazima iwe kali sana dhidi ya kila ujinga, ili kulinda taifa hili.
-->>kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
Hapo Kenya wakati KANU inaendesha nchi hiyo kwa mabavu, walikuwepo wapuuzi wa wa aina yako wakisema siku KANU ikitoka madarakani Kenya itayumba, leo hii wanaona aibu utabiri wao ukiwekwa hadharani. Na kwa hapa kwetu hatushangai wajinga wa aina yako wanaofaidika binafsi na uwepo wa serekali hii mkija na haya maangalizo uchwara.Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu.
Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya mambo si ya kuyabeba kiwepesi wepesi!?
Nature ya mwanadamu ya kutoridhika haiishi kamwe itaendelea kusimama kila wakati.
Asili ya kuona tunaibiwa haiwezi kuisha kwa mwanadamu.
Asili ya kumuogopa dreva anayekuendesha na kuona anakosea asije leta ajali haiwezi kuisha IPO?
Serikali ni lazima iwe kali sana dhidi ya kila ujinga, ili kulinda taifa hili.
-->>kama ya kijinga vile lakini ndivyo itakavyokuwa huko mbeleni.
#Mama jusi tumesimama pale!Hapo Kenya wakati KANU inaendesha nchi hiyo kwa mabavu, walikuwepo wapuuzi wa wa aina yako wakisema siku KANU ikitoka madarakani Kenya itayumba, leo hii wanaona aibu utabiri wao ukiwekwa hadharani. Na kwa hapa kwetu hatushangai wajinga wa aina yako wanaofaidika binafsi na uwepo wa serekali hii mkija na haya maangalizo uchwara.
Pana ukweli au hamna ukweli?kwa asili ya binadamu mwana wa adamu.?Lipenda rushwa na jizi nalo linapost