CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.

Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa

Tuna chama cha Upinzani hapa ?
 
Mbona upinzani asilimia kubwa ni mfumo. Huyu alikua.JWTZ tu tena ngazi ya chini.ana siri gani kubwa za kutetemesha kuliko Sumaye,Lowasa,nk je vipi akina Soka wana nini? Wenye siri nyingi na za hatari ni mapadre wa katoliki. Hao ndiyo ma strategist wa Chadema
Nadhani hapa tunaweza pata kwanini CDM haitashika dola
 
Back
Top Bottom