CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Nilivyosoma tuu CV ya yule bwana nikafikiria huenda kiapo kimekiukwa.

Watumishi wa Umma wanaapishwa kutotoa Siri za Nchi tena kwa kutumia sheria za usalama wa Taifa Kuna adhabu Kali ya kuanzia kifungo Cha miaka 20 jela au faini mil.50 au vyote kwa pamoja.

Adhabu zingine Kwa hao waliowahi kuwa watu wa usalama sijui zikojs upande huo but most likely Kuna kitu Jamaa alikuwa anajua au kavujisha.(Dhahania) ,Polisi watatoa majibu what happened baada ya Uchunguzi.
 
Nilivyosoma tuu CV ya yule bwana nikajua tayari kiapo kimekiukwa.

Watumishi wa Umma wanaapishwa kutotoa Siri za Nchi tena kwa kutumia sheria za usalama wa Taifa Kuna adhabu Kali ya kuanzia kifungo Cha miaka 20 jela au faini mil.50 au vyote kwa pamoja.

Adhabu zingine Kwa hao waliowahi kuwa watu wa usalama sijui zikojs upande huo but most likely Kuna kitu Jamaa alikuwa anajua au kavujisha.(Dhahania) ,Polisi watatoa majibu what happened baada ya Uchunguzi.
Kwamba unatarajia polisi hawahawa wawe upande wa marehemu ambaye hawezi kuongea wala kujitetea na kuusema ukweli wenyewe na waache kutoa uongouongo kuficha nia ovu za wauaji ambao wanawajua kabisa?Hivi vichekesho huwa mnavitoa wapi?
 
..Meja Jenerali Marco Mwita Marwa ambaye ktk vita vya Uganda alikuwa anajulikana kama " Jenerali kambale " aliwahi kujiunga na Chadema.

..pia baadhi ya waasisi wa Chadema walikuwa askari wastaafu wa Jwtz waliotumikia jeshi miaka ya 1970 / 80.
 
Nilivyosoma tuu CV ya yule bwana nikafikiria huenda kiapo kimekiukwa.

Watumishi wa Umma wanaapishwa kutotoa Siri za Nchi tena kwa kutumia sheria za usalama wa Taifa Kuna adhabu Kali ya kuanzia kifungo Cha miaka 20 jela au faini mil.50 au vyote kwa pamoja.

Adhabu zingine Kwa hao waliowahi kuwa watu wa usalama sijui zikojs upande huo but most likely Kuna kitu Jamaa alikuwa anajua au kavujisha.(Dhahania) ,Polisi watatoa majibu what happened baada ya Uchunguzi.

..hakuna kitu kama hicho.

..makosa yote hapa nchini yana mashtaka yake.

..Tanzania tumewahi kuwa na kesi za uhaini, ujasusi, na ugaidi, hayo ndio makosa makubwa dhidi ya nchi / dola.

..hakuna kosa la kutoa siri ambalo hukumu yake ni kuteswa, kutobolewa macho, na kuuwawa, kama ilivyotokea kwa Mzee Ally Kibao.
 
Nilivyosoma tuu CV ya yule bwana nikafikiria huenda kiapo kimekiukwa.

Watumishi wa Umma wanaapishwa kutotoa Siri za Nchi tena kwa kutumia sheria za usalama wa Taifa Kuna adhabu Kali ya kuanzia kifungo Cha miaka 20 jela au faini mil.50 au vyote kwa pamoja.

Adhabu zingine Kwa hao waliowahi kuwa watu wa usalama sijui zikojs upande huo but most likely Kuna kitu Jamaa alikuwa anajua au kavujisha.(Dhahania) ,Polisi watatoa majibu what happened baada ya Uchunguzi.
Kuna majitu majinga dunia hii sana
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Hawatakiwi kwenye siasa au kwenda chama tofauti na ccm? Mbona huko ccm wapo wengi tu iweje ni tatizo kuwa chama Cha upinzani?

Kitendo cha kuua wananchi watanzania hakikubaliki huku ni kuiharibu nchi yetu, nchi ya utawala wa wauaji kamwe haikubaliki.

Enyi wauaji kamwe hamuisaidii nchi hii bali mnaibomoa kwa kututengenezea chuki na hasira kwa viongozi
 
Mbona upinzani asilimia kubwa ni mfumo. Huyu alikua.JWTZ tu tena ngazi ya chini.ana siri gani kubwa za kutetemesha kuliko Sumaye,Lowasa,nk je vipi akina Soka wana nini? Wenye siri nyingi na za hatari ni mapadre wa katoliki. Hao ndiyo ma strategist wa Chadema
chini umemailizia kwa pumba
 
Swali lako halina mantiki ujue. Yaani umeleta hoja kama kusema jua halitakiwi kuchomozea Mashariki.
Achaa elimu yako ya kukariri hapa, Jua halijawai chomoza mashariki wala mangaribi, Ni Dunia yako ndiyo inalizunguka Jua ikiwa ni moja wapo ya sayari zinazo zunguka jua!!
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Hao wastaafu wakiwa CHADEMA ni dhambi ,ila wakiwa CCM sio dhambi.
Nani alisema ukiwa mwanajeshi, polisi, Waziri Mkuu hauhami Chama.
Taifa ndiyo inayolindwa sio vyama, hao watu waliapa kutokutoa Siri za nchi na adhabu ya kutoa Siri ipo..
 
Back
Top Bottom