CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.

Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa

Tuna chama cha Upinzani hapa ?
 
Nadhani hapa tunaweza pata kwanini CDM haitashika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…