Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
KWANINI TONE TONE NA SI KUHUHISHA KADI?
Chadema kama chama kingine chochote cha siasa njia kupata fedha ni kuuza na kuhuisha kadi za uanachama.
njia ya kadi ina faida za kifedha, pia kupata wanachama watakaokipigania chama.
Kadi za chadema zinaanzia 2500 hadi laki tano na kadi nyingi hazijahuishwa kwa maana ya kulipiwa ada ya mwaka.
Chadema inamaelfu ya wanachama wakilipia ada ya uanachama mwaka tu chama kitapata mabilioni ya tshs.
tatizo la fedha za kadi zitaingia rasmi ktk mifumo ya kifedha ya chama na kufanyiwa ukaguzi hivyo upigaji itakuwa ngumu.
Kwahiyo hii tone tone ni mbinu ya upigaji tu.
waulize kwanini hawaongelei suala la kuuza kadi na kulipia kadi za uanachama kama walivyoahidi mwanzo?
Kwann tone tone iingie mfukoni mwa mtu ambaye ktk chama hahusiki na idara ya fedha?
wanachama wanaochangia tone tone wengi kadi zao ni mfu.
Tone tone ni utapeli.