Mission collapsed apart /
Lissu hakufurahi kushinda, lengo kuu ni angelifurahi kuigawa chadema /
#########
Tunaendelea na ;wanakondo;
Kitu kimoja cha kushangaza lissu alifanya muunganiko wa watu wanamchukia Mbowe hata kama si cdm.
Sababu ni ulafi wa madaraka na njaa ya hela. miongoni mwa nguvu za adui kutoka nje ya cdm walikuwa msigwa, covid, mwabukusi (nccr), maria (ccm) mwanakondoo nk
Huyu mwanakondoo alikuwa chombo muhimu cha kueneza propaganda na uongo dhidi ya mwamba na ni aibu kwa mtumishi kufanya hila za namna hiyo.
mwanakondoo alichapisha machapisho mengi kuonyesha kuwa mwamba amekuwa akinunua chaguzi pale cdm mara zote aluzoshinda.
mwanakondoo alidai uwepo wa rushwa ktk uchaguzi lkn kama kuna wajumbe walipokea au kutoa rushwa ilikuwaje hawajashughulikiwa mpaka leo.
mwanakondoo alijenga mazingira ya kuonyesha kuwa endapo mwamba angeshinda basi uchaguzi usingekuwa huru wala haki yaani kwake yeye uchaguzi kuwa huru na ni mwamba kushindwa.
Mwanakondoo alitoa andiko la kipropaganda kuwa hata polisi waliofika mlimani city siku ya uchaguzi walitumwa kumsaidia mwamba.
lkn tuhuma au wasiwasi baada ya lissu kushinda hatukuambiwa kuwa walidhibitiwa au vipi au walikuja kwa nia njema tu ya kulinda raia.
sasa hivi kazi ni kubwa lissu hakutarajia kushinda uchaguzi nia ilikuwa kuigawa cdm na kutimkia act bahati hujuma zao zikafaulu sasa hajui pa kuanzia.
nitachapisha hapa ukabila na udini ulivyotumika kiustadi kummaliza mwamba.
licha ya yote kuna kiini macho cha mkanada kuiba kura ...
nasema haya ili huko mbele cdm ikikwama mjue mchawi ni nani....
Erythrocyte