kwahiyo ndiyo maana kuna wimbi la polisi linaendelea kuwakamata viongozi na wanachama na wengine kuwaua maeneo mbalimbali nchini wanacheza ngoma wasiyoijuaKwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
Akili za kuchambia misikitini hizi 👆🙄🙄Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
HatambulikiKwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
Wakutane na Tume iliyoundwa na Mtuhumiwa ili iweje?Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.