Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Tatizo umeanza kuhesabu muda kuanzia ule wa wajumbe kuwasili, kuhakiki, hotuba mbalimbali, kumchagua mwenyekiti wa muda wa uchaguzi, uhakiki wa wapiga kura, upigaji kura na kuhesabu. Hayo yote tume ya uchaguzi huyafanya kwa miezi isiyopungua sitaHiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!β
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Hayo mengi uloyatajq yalipaswa kufanyika awali kabisa.Tatizo umeanza kuhesabu muda kuanzia ule wa wajumbe kuwasili, kuhakiki, hotuba mbalimbali, kumchagua mwenyekiti wa muda wa uchaguzi, uhakiki wa wapiga kura, upigaji kura na kuhesabu. Hayo yote tume ya uchaguzi huyafanya kwa miezi isiyopungua sita
Azimio la Dodoma usisahau lilifanyika January 19/20 ndio linafanya yote hayo yatokee Mwasi Kitoko pandikizi la TISSWanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Kuyafanya hayo kwa wajumbe wanaotoka pande zote za nchi inahitaji muda wa kutosha kuwaweka pamoja, labda wiki nzima au mbili kwa uchaguzi wa mwenyekiti tu. Zote hizo ni helaHayo mengi uloyatajq yalipaswa kufanyika awali kabisa.
Jana/ leo ingekuwa ni siku ya kupiga kura tu na kuzihesabu.
Inakera na kuumiza sanaYaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
yes, slow but sure!Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!β
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Lazima uwe mtu wa Ajabu sana!Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!β
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Blah blah ni nyingi sana kwa hawa jamaa!Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!β
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
ππππUnaumia ukiwa wapi?
Na bado. Chadema wanawaonyesha watanzania kwa vitendo nini maana ya demokrasia.
Na kupitia Chadema watanzania wanajifunza kuwa inawezekana mkatofautiana kimtazamo bila kutukanana na kukomoana kama mnavyofanyiana huko CCM.
The future of Tanzania will be in safe hands kama Serikali ikiongozwa na Chadema.
πͺπΏππΏπβ€πͺπΏππΏπβ€πͺπΏππΏπβ€Lazima uwe mtu wa Ajabu sana!
1. Tunalalamikia kuiba kura (fraud, cheating); uchaguzi umeenda vizuri, na kura hazikuibwa hata ingechukua masaa 100 lakini process ni valid. For the First Time in Tanzania - no foul play
2. Katiba imefuatwa, tatizo la muda ni technology, Tanzania problem, umasikini; siyo tatizo la Chadema. CCM ndiyo wemesabbisha yote haya, backwardness, na umasikini.
Thank God; For Democracy, Chadema Did well !!!!!!!!!!!!!!!!!!
It is 2025, we are in AI, unaweza ukafanya chochote 24/7; ---------rantingUchaguzi kufanyika usiku wa manane kunatia doa hiyo transparency.
Sunlight is the best disinfectant.