Pre GE2025 CHADEMA is not ready for prime time!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna haja ya kujifunza kuokoa muda huko mbeleni na ikiwezekana uchaguzi uwe ajenda pekee inayojitegemea siku nzima.. Wawe wanakuwa na Mkutano Mkuu wa siku 2, siku ya pili iwe ya kupiga kura tu!
 
Umenena 👌🏼👌🏼👌🏼

Tatizo hawana hata ujuzi wa kutambua lolote

Tangu yule MC alipotanbukisha kizembe na kwa kutojua, aseme je na kukosea nani wa wapi na wapi

Nilijua majanga mbele lazima

Teknolojia ipo nyie.. Wazungu hata mkalimali hakuna ila pesa wanajua kuomba omba.. Hata wao leo hawajaamini chama bado ila ni key board warriors na, Mbeljiji aka, muomba kuhurumiwa anavyoongea eeeeh
 
Fikiria tu uchaguzi unaokutanisha watu ukumbini Mlimani City unafanya watu walale macho na bado matokeo hakuna; sasa pata picha uchaguzi unaoanzia Muleba hadi Mtambalapanya, huku kuna Nungwi hadi Namanyele: matokeo si yatakamilika baada ya miezi 7!
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Tatizo umeanza kuhesabu muda kuanzia ule wa wajumbe kuwasili, kuhakiki, hotuba mbalimbali, kumchagua mwenyekiti wa muda wa uchaguzi, uhakiki wa wapiga kura, upigaji kura na kuhesabu. Hayo yote tume ya uchaguzi huyafanya kwa miezi isiyopungua sita
 
Hayo mengi uloyatajq yalipaswa kufanyika awali kabisa.

Jana/ leo ingekuwa ni siku ya kupiga kura tu na kuzihesabu.
 
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Azimio la Dodoma usisahau lilifanyika January 19/20 ndio linafanya yote hayo yatokee Mwasi Kitoko pandikizi la TISS
 
Hayo mengi uloyatajq yalipaswa kufanyika awali kabisa.

Jana/ leo ingekuwa ni siku ya kupiga kura tu na kuzihesabu.
Kuyafanya hayo kwa wajumbe wanaotoka pande zote za nchi inahitaji muda wa kutosha kuwaweka pamoja, labda wiki nzima au mbili kwa uchaguzi wa mwenyekiti tu. Zote hizo ni hela
 
Labda waalimu wanajua kuhesabu kura faster
 
Wanaolalamika wengine wanaweza kushinda uwanja wa Taifa siku nzima wanasubiria Yanga au Simba zicheze!
 
Uchaguzi wa CHADEMA wagombea zaidi ya mmoja katika nafasi zote, ni tofauti na kura za kumthibitisha mtu mmoja tu aliyeteuliwa, tatizo la Watanzania wengi ni wavivu sana katika siasa za kidemokrasia.
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
yes, slow but sure!
 
Lazima uwe mtu wa Ajabu sana!
1. Tunalalamikia kuiba kura (fraud, cheating); uchaguzi umeenda vizuri, na kura hazikuibwa hata ingechukua masaa 100 lakini process ni valid. For the First Time in Tanzania - no foul play
2. Katiba imefuatwa, tatizo la muda ni technology, Tanzania problem, umasikini; siyo tatizo la Chadema. CCM ndiyo wemesabbisha yote haya, backwardness, na umasikini.

Thank God; For Democracy, Chadema Did well !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Blah blah ni nyingi sana kwa hawa jamaa!
 
Unaumia ukiwa wapi?

Na bado. Chadema wanawaonyesha watanzania kwa vitendo nini maana ya demokrasia.

Na kupitia Chadema watanzania wanajifunza kuwa inawezekana mkatofautiana kimtazamo bila kutukanana na kukomoana kama mnavyofanyiana huko CCM.

The future of Tanzania will be in safe hands kama Serikali ikiongozwa na Chadema.
😂😂😂😂
IMG-20250121-WA0072.jpg
 
Lazima uwe mtu wa Ajabu sana!
1. Tunalalamikia kuiba kura (fraud, cheating); uchaguzi umeenda vizuri, na kura hazikuibwa hata ingechukua masaa 100 lakini process ni valid. For the First Time in Tanzania - no foul play
2. Katiba imefuatwa, tatizo la muda ni technology, Tanzania problem, umasikini; siyo tatizo la Chadema. CCM ndiyo wemesabbisha yote haya, backwardness, na umasikini.

Thank God; For Democracy, Chadema Did well !!!!!!!!!!!!!!!!!!
💪🏿👌🏿💗❤💪🏿👌🏿💗❤💪🏿👌🏿💗❤
 
Back
Top Bottom