Pre GE2025 CHADEMA is not ready for prime time!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Kwani waliwahi kufanya uchaguzi wa namna hii wa vigogo miaka ya nyumba? Tuwapongeze kwa kutoa funzo kubwa kwa CCM, uchaguzi umeenda very Transparent, Naonmba vyama vingine viige huu mfano mkubwa.
 
Uchaguzi kufanyika usiku wa manane kunatia doa hiyo transparency.

Sunlight is the best disinfectant.
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Wewe kama una akili utagundua kuwa mchakato halali kama huu unaoendelea CDM ndio kitu walichoshindwa CCM kule Dodoma na kuishia kusema Samia amepita kwa 100%. Akili zako zinakuambia ni chama kipi kinazingatia demokrasia kati ya CDM na CCM? Would you guess?
 
Hata mimi nimeshawatoa kwenye imani kitambo ni bora tuendelee tu na hili zimwi letu
You are demonstrating a worrying naivety about political issues engulfing our democratic processes in the country.

Have you succumbed already to the Kleptocratic system which is blinding you?
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Wewe nawe unaonekana uko ndotoni una mkojo angalia usije kujikojolea kwa hiyo unataka wafanye Uchaguzi wa kukimbizana kwani wanawahi wapi? Uchaguzi mkuu tu inachukua mpka siku siku 3 au 4 kutangazwa kwa matokeo ya washindi majimboni wanachofanya hawa watu wanajaribu kuonesha Dunia hawa rush mambo Kama Bao la Jogoo kwa mtetea ni slow but sure siyo kama nyie CCM wavivu kufikiri mnafika Dodoma mnakuta mmeshachaguliwa Kila mtu kazi yenu ni kupitisha tu Yani mpompo kama VIVUMISHI VYA IDADI lakin cyo kwa CDM
 
Niumie kisa CHADEMA isiyoweza kuhesabu kura 1,000 ndani ya dakika 10?

Makamanda hamna kabisa akili…..na ndo maana hata kuhesabu kura kunawashinda 🤣.
We nyani ratiba ya mkutano mkuu ulikuwa nayo? Je utaratibu wa uchaguzi wa chadema unaufahamu?

Tuanzie hapo
 
Tatizo liko hapo kwenye cheo cha juu .......kura 1000 wanakesha nazo .......je ukiwapa za serikali za mitaa kuhesabu si mwaka mzima huo
Kwenye uchaguzi huu, kuna kitu cha kujifunza! Hauwezi kuuita ni uchaguzi, uchaguzi ambao kabla ya kufanyika, kishapatikana mshindi!
Kwa yale maneno maneno yalivyokuwa yakisemwa, basi style hii ya uchaguzi, ni sahihi ili aliyeshinda na kushindwa, aridhike!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Kwani washapiga kura?
Hadi saa 5 usiku upigaji kura ulikuwa haujaanza.

Ni figisu za ccm hizo kujitahidi kupata ushindi wa mtu wao Mbowe
 
Kwamba watapiga kura usiku wa manane na kuzihesabu usiku wa manane mpaka asubuhi ya kesho yake?

Kama ni hivyo basi hawafai kabisa.

Sijui utaratibu wao upoje na ratiba yao walipanga vipi, binafsi sioni shida kama uchaguzi na utoaji matokeo wamefanya kulingana na mpango walioweka...

Anyway, siasa zetu Afrika na Tanzania bado zina mizengwe sana si CCM si Chadema si kwingineko, si za kuwekeza akili na tafakuri zetu kivile...
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Bado hamjasema
 
Uchaguzi wenye wapiga kura wasiozidi 1000 wanachukua siku 2! Aibu sana kwa hawa CHADEMA Pinga Pinga!
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Una sababu nyepesi sana, just tu sababu wamechukua muda? Huja consider factors zilizopelekea kufika huko?

Come on man
 
Wanachagua viongozi watakao kaa zaidi ya miaka 4. Ni jambo linalohitaji mchakato
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Wanatengeneza Mazingira Mangi Mbowe ashinde.
Ni hawa hawa walidai kuwa uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi.

Wao usiku kucha hadi sasa matokeo bado,,
Wamepitwa uwezo hadi na CCM, CCM wao chap kwa haraka Mwenyekiti alichaguliwa licha ya kuwa na maelfu ya Wajumbe.
 
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.

Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.

Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?

Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.

Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?

Sidhani.

Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.

Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.

Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”

Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.

CHADEMA, do better.
Tatizo Chadema wanaingiliwa, wanahujumiwa tofauti na chama tawala kwenye chaguzi zao.
 
Kwani ratiba yao ya upigaji kura na muda wataotoa matokeo hawakuiweka bayana?

Isijekuwa ni utaratibu wameweka ya kwamba kura zitapigwa muda fulani, na matokeo yatatajwa muda fulani , hivyo wapo ndani ya ratiba zao.
Kura 2000 ukianza kuvusha siku
Kifuatacho ni uchafuzi tu, Hakuna kingine😂.
Mimi nimemaliza shughuli zangu saa 8 usiku,
Napita kuangalia update za Chadema nakuta bado.

Vipi tukiwapa za nchi nzima?
Hawa si watatumia mwaka mzima wanahesabu tu!.
 
Back
Top Bottom