Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?Kwaiyo unataka kutuambia kura unapiga wewe na famliya yako ? Au kumuweka mcheza xxx Gwajiboy ndo wagombea sahii.
Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?
Ni mwenzenu huyo kachungulia nje ya box!CHADEMA CHAMA CHA MUNGU. MMEPAMBANA WENYEWE LAKINI BADO MNA HOFU. TULIZA KIPELEE ICHO
Ameshauri vyema kabisa!Kwaiyo unataka kutuambia kura unapiga wewe na famliya yako ? Au kumuweka mcheza xxx Gwajiboy ndo wagombea sahii.
Ccm wana matatizo, wameshindwa kubomoa jengo la Tanesco Ubungo ndio wataweza kuibomoa Chadema
Pale alikuwa hajagundulika. Ila sasa nia yake apite akawapige XXX wabunge wa kijani ili muone nguvu ya " MKONO WA BAUNSA"Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?
[emoji3][emoji3][emoji3]Acheni kumhofia gwajima kwa kuijificha kwenye vikashfa vyenu uchwara.Pale alikuwa hajagundulika. Ila sasa nia yake apite akawapige XXX wabunge wa kijani ili muone nguvu ya " MKONO WA BAUNSA"
Hahahaha wewe acha bange zako, usitufanye Watoto wadogo. SubiriUnaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji
Endelea kubishana na teknolojiaUnaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji