YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!
Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.