Uchaguzi 2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

Uchaguzi 2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.

CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna mgombea wa CHADEMA. CCM IMEJAZA MAJIMBO YOTE TANZANIA bara na visiwani. CHADEMA Zanzibari mfano hakuna mgombea ubunge mtia nia kupitia CHADEMA hata mmoja!

Maana yake nini? Ni kuwa hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali!!! na sio rahisi mgombea wao wa Uraisi kushinda.
 
Kuna Maeneo Watia nia Wamekimbia vivuli vyao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwaiyo unataka kutuambia kura unapiga wewe na famliya yako ? Au kumuweka mcheza xxx Gwajiboy ndo wagombea sahii.
Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?
 
Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?


Pia mcheza xxx Mwijaku siunakumbuka hile xxx yao na menina, sasa na yeye anagombea kawe CCM ahaaaaa
 
Kwani muda umeisha wa ķutangaza Nia? Kwani upande ule umejitokeza kwa wingi kwasabb tu wanauzalendo sana kwny nchi hii? Au wanawinda vyeo ili wale? Kwani wewe kama hawatagombea kw mismamo yako wewe Yehodaya unafurahia au utachukia?

Kwani kuunda serikali ndy nini mkuu?hujawahi ona serikali dhalimu wewe? Kuna serikali duniani hapa znaundwa na mwishowe znageuka viapo na kutesa wananchi wao!

Hivyo tusishangilie kushinda tu kuunda serikali Bali tushangilie kuwa tumepita kihalari kw ridhaa ya wananchi Na kutoka moyoni mwetu tunapenda nchi yetu na tunadhamira ya kulinda katiba yetu na maendeleo ya watu wetu. Hii ndy iwe furaha yetu!!!
 
Ccm wana matatizo, wameshindwa kubomoa jengo la Tanesco Ubungo ndio wataweza kuibomoa Chadema

Unaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji.
 
Gwaji ni mshenga wako yule wa kumleta Lowasa chadema, au pale hukuona kama ni mcheza x?
Pale alikuwa hajagundulika. Ila sasa nia yake apite akawapige XXX wabunge wa kijani ili muone nguvu ya " MKONO WA BAUNSA"
 
Wanasubiri hao watakaokatwa CCM wawasajili kugombea.

BTW: Hesabu za CDM hazitofautiani na zile za kilimo cha matikiti kwa pdf.

Heka moja kutoa 50M faida kwa msimu mmoja.
 
Pale alikuwa hajagundulika. Ila sasa nia yake apite akawapige XXX wabunge wa kijani ili muone nguvu ya " MKONO WA BAUNSA"
[emoji3][emoji3][emoji3]Acheni kumhofia gwajima kwa kuijificha kwenye vikashfa vyenu uchwara.

Acheni democrasia itawale, kama suala la kula wafuasi hat mwenyekiti wenu wabunge viti maalum kigezo ni kutafunwa kwanza
 
Unaota lile lilikuwa na majengo mengi ya mbele yalishabomolewa ambayo yaliyokuwa hifadhi ya barabara yaliyobaki yaliyokuwa nyuma naona wewe utakuwa mshamba toka mikoani huwa dar es salaam unakuja mara moja moja kushangaa jiji
Hahahaha wewe acha bange zako, usitufanye Watoto wadogo. Subiri
 
Back
Top Bottom