CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO
Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine.
Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump kasema leo alipokuwa Florida kwamba, atashughulikia maslahi ya Wamarekani tu.
Achana na unafiki wa Wamarekani kujidai wanasimamia usawa wa kijinsia na jinsia na maendeleo (gender equality, gender and development) duniani wakati ni makaburu, tujadili yakwetu Tanzania.
Jambo kubwa kwa Watanzania ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jana Tundu Lissu kasema ukweli mchungu. Huu ndiyo mjadala unaopaswa kutikisa nchi. Yaani Chama Kikuu cha Upinzani kiko hoi!
1. Lissu kasema CHADEMA haina rasilimali watu wa kuwasimamisha katika nafasi zote za uchaguzi. Hii ni kauli nzito sana kwamba chama hakina watu wenye sifa.
2. CHADEMA haina pesa za kutosha kuendesha uchaguzi.
3. Lissu mwenyewe hajajiandikisha kwa sababu alikuwa Uingereza kufuatilia michingo yake ya pesa! Vibweka!
MASWALI
1. Ziko wapi pesa za ruzuku?
2. Ziko wapi fedha za Join the Chain?
3. Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, John Mnyika watawaeleza Watanzania CCM 'imeiba kura' ikishinda kwa kishindo kama Republican, Novemba 27?
4. Je, CHADEMA imekimbiwa na wasomi na kada ya kawaida hadi kukosa watu wa kugombea?
# CCM itashinda kwa kishindo, kwa sababu imejipanga. Tujadili bomu la Lissu tuachane na Marekani.