Pre GE2025 Chadema isiruhusiwe kutikisa Dola na nchi kwa ujumla

Pre GE2025 Chadema isiruhusiwe kutikisa Dola na nchi kwa ujumla

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Mwisho wa wizi wa kura unataka kuweka wazi, majizi ya ccm mnakimbilia kwenye mbeleko yenu ya vyombo vya Dola. Cdm washikilie hapo hapo kuhakikisha chaguzi za kishenzi zinawekwa wazi, na watanzania wasikubaliane na upuuzi huo tena.
 
Back
Top Bottom