Uchaguzi 2020 CHADEMA isishiriki Uchaguzi mkuu Oktoba 2020 sababu ya Corona

Wewe unadai wenzio wana matusi wakati wewe kila unachoandika umejaza matusi ?! Mbona wewe ndiyo huna lugha ya kistaarabu !!. Nyani haoni la kwake

Odhis *
 
Wakishiriki uchaguzi hapa ndipo UJUHA WA CHADEMA UTAIMARIKA MARA DUFU hadharani. nawashauri wasishiriki kabisa maana huo ni mtego kwao. ni bora wawaache CCM, ACT, NCCR, nk..wao watulie.

Pia wasisahau watambue;
KANISA & MSIKITI..imemheshimu sana Rais Dr Magufuri kwa kuruhusu watu kumwabudu Mungu wao kipindi hiki cha CORONA, bahati mbaya sana CHADEMA wamejitokeza kukashfu hili (BONGE LA MISTAKE)..Itawagharimu sana

Pia wajue akina mama ndio wapiga kura na hao ndio wengi wamejaa MAKANISANI NA MISIKITINI, hivyo kuwaruhusu waendelee kumtegemea Mungu wao ni SILAHA TOSHA

Unaposhabikia LOCKDOWN ndani ya hii nchi wewe ni MWEHU MKUBWA NA MPUMBAVU, hutambui kuwa kuna watu wanakula mlo mmoja kwa siku tena wanaupata kwa mbinde sana, pia kuna idadi kubwa sana ya watu ambao hawajaoa na kuolewa hivyo maisha yao kwa kiwango kikubwa wanategemea chakula kwa mama ntilie, hili kundi ni kubwa sana na wengi wao hawana vifaa vya kupikia kama jiko, sufuria n.k...sasa unapowaambia wakae ndani wanunue vyakula unakuwa kama SHETANI KWAO, hawakuelewi..maana watahitaji kununua vifaa alafu wanunue chakula wakati huohuo pesa hawana hadi wakafanye vibarua wapate viposho waendeshe maisha yao. CHADEMA MUNGU ANAWAONA HALOO!.

MAGUFURI KIPINDI HIKI ANAPENDWA SANA ZAIDI YA KIPINDI KILE CHA 2015.

Natoa mfano;
kama kura mia (100), mtambue kuna uwezekano Rais Dr. Magufuri ataweza pata kura 95 na akawaachia kura 5 mgawane mliobakia huko.

MAWAZO YANGU YANASEMA HUWEZI PAMBANA UKIWA UMEJIFUNGIA, LABDA UJIFUNGIE MILELE. HATA UKIKAA NDANI MWAKA ILA UKITOKA LAZIMA UTAPAMBANA TU MAANA HAKUNA NJIA MBADALA. MUNGU ASIPOKULINDA WEWE HUNA UBAVU WA KUJILINDA....PIGENI KAZI ZINGATIENI TAHADHARI ZOTE MUOMBENI SANA MUNGU..MTASHINDA (Kwa hili MAGUFURI KAONEKANA SHUJAA SANA KWA WAPIGA KURA WENGI NCHINI).

CHADEMA nawatakieni majukumu mema, tunawapenda ndio maana hatuachi kusema, mtambueni adui wenu siraha alizonazo alafu muamue mapema na kutafuta njia sahihi ya KUPUNGUZA AIBU HII.

LEO HII ROHONI DR RAIS MAGUFURI AMETUNUKIWA UASKOFU HATA KABLA HAIJATANGAZWA, TAYARI IMANI IMEKUWA JUU YAKE.
(ASKOFU Dr Rais Magufuri 2020).
 
😃😃😃 We mkorofi kweli , wasiposhiriki hawatakuwa na wabunge vipi kuhusu ruzuku? Familia zao wataendeshaje,?
 
Ndio kusema hujui kama haya yamefanyika ndani ya miaka minne?

Najua yamefanyika na wala sio awamu hii tu, lakini kwakuwa kwenye awamu hii mnataja hadi idadi, ndio nikataka uweke list ili tujiridhishe na ukweli wenu.
 

Umeongea utoto gani hapa we dogo?
 
Najua yamefanyika na wala sio awamu hii tu, lakini kwakuwa kwenye awamu hii mnataja hadi idadi, ndio nikataka uweke list ili tujiridhishe na ukweli wenu.
Kwa kuwa unajua yamefanyika hamna haja ya kuweka list. Tukiweka list moyo wako utaumia zaidi.
 
Laana ya usaliti itakutafuna mama mpaka kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…