Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa kuwa unajua yamefanyika hamna haja ya kuweka list. Tukiweka list moyo wako utaumia zaidi.
Cha kuniumiza ni kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa unajua yamefanyika hamna haja ya kuweka list. Tukiweka list moyo wako utaumia zaidi.
Nyie mentor wenu si Lema!! Mbunge asiyejua majukumu yake anajidai prophet kutabiri shida na kueneza taharuki za kijingaWewe unadai wenzio wana matusi wakati wewe kila unachoandika umejaza matusi ?! Mbona wewe ndiyo huna lugha ya kistaarabu !!. Nyani haoni la kwake
Odhis *
Huyo jamaa huwa ana jazba sanaNyie mentor wenu si Lema!! Mbunge asiyejua majukumu yake anajidai prophet kutabiri shida na kueneza taharuki za kijinga
wakubwa wameelewaUmeongea utoto gani hapa we dogo?
Acha mbwembwe, Tume Huru ya Uchaguzi si hisani tena Bali ni LAZIMA utake usitake!!Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Hakuna mkubwa anaelewa utoto.wakubwa wameelewa
Hautaki maendeleo ya taifa la TanzaniaCha kuniumiza ni kipi?
Hautaki maendeleo ya taifa la Tanzania
Nimerejea baada ya malaika mkuu nayeye kutoka mafichoni Chattle, sasa hivi tunaenda kupiga tena selfies juu ya majabali
Kamanda nini maoni yako?Chadema washiriki uchaguzi?Tengenisha maendeleo ya taifa na kumsujudia kiongozi. Inaonekana unapata tabu kutenganisha haya mambo mawili, ndio maana umegeuka kuwa bendera fuata upepo.
Comrade niunge mkono kuwasaka wale wote walioshiriki kumlisha sumu JPM wakati akiwa waziri,waliomlisha mzee Mangula sumu,walioshiriki mauaji ya kibiti,walio mpiga risasi Mh.Lissu.Chadema sanyingine wanamaamuzi ya kijinga... Waligomea serikali za mitaa kijinga na uchaguzi huu bila tume huru hali itakuwa mbaya. Inafaa wajifunze siasa za demokrasia ya kistaarabu na kimaendeleo.
-Kilakitu wanapinga na elimu zao ndooogo kabisa.
- hawafanyi cha maana (hata mafuriko majimboni mwao hawaendi kusaidia) kisa eti hawakusanyi kodi wao nikula na familia zao.
- wanahitajika lkn hawajielewi,hawajengi maelewano na maridhiano no mipasuko na madharau.
- wanachafua/kutusi watu bila ushahidi kisa wapande kisiasa,walimfanyia hivyo lowassa badae wakala matapishi na hata kinana mpaka kumwomba radhi sasa sijui wanamtaka chamani.
- hawasimamii jambo wakafanikisha mf. katiba,tume ya uchaguzi nk.
Chama kitaanguka vibaya hiki inabidi kijivue gamba kibadilike lasivyo kitapotea kama CUF!!
Naunga mkonyo, mkono hoja!Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Uzuri wa uchaguzi hata wakipiga kura watu ishirini, huo ni uchaguzi na viongozi watakaopita watakuongoza tu.Cdm kama chama ni juu yao kushiriki au kuacha, ila sisi wapiga kura tunaojitambua hatuko tayari kupoteza muda wetu kushiriki uchaguzi wa kihuni. Bila tume huru ya uchaguzi, sisi tunaojitambua na kwa kutumia ushawishi wetu tutahakikisha watu hawashiriki huo uhuni uitwao uchaguzi. Sio lazima kiongozi kupatikana kwa njia ya kura, iwapo njia hiyo haiheshimiwi ni vyema kutafuta viongozi kwa njia nyingine. Ifahamike hata ccm wengi wao hawako kwenye nafasi zao kutokana na njia ya kura halali, wingi wa kura/viti vya ccm ni nje ya ushindani halali.
Uzuri wa uchaguzi hata wakipiga kura watu ishirini, huo ni uchaguzi na viongozi watakaopita watakuongoza tu.
Achana na mambo ya kupindua. Hayo yalienda na akina Mobutu. Uchaguzi ni uchaguzi tu. Wewe ukisusia shauri yako. Wenyeviti wa mitaa mlisusia, hawapo wanachapa kazi? Na huu susiaeni muone. Wengine watahombea. Kura zitapigwa na serikali itaapishwa na itachapa kazi. Nanhi mtabaki mtandaoni mnaloloma!Hata wanaoingia madarakani kwa kupindua nchi huongoza kama lengo ni kuongoza tu. Tunachoangalia ni kutawala kwa ridhaa ya wengi. Ukijikuta unachaguliwa na watu wachache ujue huna ridhaa ya umma, bali unatumia njia zisizo halali kukaa madarakani. Kwa taarifa yako, hata ukibaka unaweza kumtia mtu mimba na mtoto atazaliwa, je mbinu hiyo ni sahihi?
Kwa wasiojua siasa huamini chama husika ni viongozi! Wanaojua siasa huamini chama ni wafuasi.Ndugu zangu,