Kulipa kodi kwangu sio jambo la kuombwa au kuhamasishwa, bali ni wajibu wangu na ninalifanya bila kusukumwa. Na kwa taarifa yako hata kabla ya hiyo elimu bure, nilisomesha watoto watano waliokuwa kwenye umasikini mkubwa. Watatu la kwanza mpaka la saba. Na wawili form one mpaka form four na mmoja wa huyo ninamsomesha mpaka sasa, anasubiri kumaliza mtihani kesho kutwa baada ya hili balaa la Covid.