CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

Kama unaona ile post ilikuwa sawa, basi naomba unisamehe. Endelea tu huo mtindo wako wa kupost.

Ova
Mimi nimesema ni 'format' tu; lakini content haina tatizo lolote; sasa sioni hapo kuna jambo gani kubwa sana la kuendela kung'ang'ania na kuhitaji nifundishwe kama ulivyo lilia wewe!

Kwanza ni kitu gani cha kufundishwa hapo?

Sasa kabla ya kuendelea kulia lia hapa, hebu tazama ulicho andika hapo ulikiweka ukikusudia kitu gani hasa!
 
Si umegoma kuitiwa watu wa kukufundisha mkuu? Hakuna shida, acha tuendelee kusumbuka kukuelewa kwenye baadhi ya post zako.

Ova
 
Maandamano hayana athari zozote kwa wasiojulikana.

QURUJUAN inaogopwa Zaidi ya maandamano.
Nashauri ifanyike dua ya pamoja kitaifa kumshitakia MUNGU.
Kama kwl Watanzania tumedhamiria kukomesha hili janga..
Kwann watu wa imani mbali wanajitokeza kuomba mvua lakini sio kuomba kukomesha hili janga?

Kuna nn nyuma ya pazia?
 
Naunga Mkono kuandamana.Agenda ndiyo kidogo ingekuwa Pana:Yanahitajika mageuzi ya Jinsi Jeshi la Polisi linavyooperate.Wawe na Camera ili kutrack Matendo Yao.Wafanye Kazi Kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Utumishi.Pia Ile Sheria iliyowapa Mamlaka ya kutowajibika maofisa wa TISS iangaliwe upya:inaweza Kutumika vibaya kama ilivyotumika Argentina.Mwisho haya ni Maoni binafsi: Recruitment ya Maofisa wa TISS iwe transparent,na kuwe na mpaka baina ya TISS na Chama tawala.Hii ikiachwa hata kikija Chama kingine Vilio vitaendelea.Yaani huwezi kuwa na Nchi ambayo watu wanakamatwa na haijulikani mashtaka Yao,haijulikani wapo wapi,na hata watu wakiuliwa huwezi kuhoji popote.Yaani Usalama wa mwananchi upo mashakani.Kama ukiandamana utauawa,na ukikaa ndani utauawa,Nenda kuandamana.
 
Waache wafanye wanayo taka. Wana haki na uma utawasapoti tu mawazo yako ni ovyo sana
 

Hii sio chase watu wamepotea na kufa wewe unaongelea chase🤦🏾‍♂️
 
Si umegoma kuitiwa watu wa kukufundisha mkuu? Hakuna shida, acha tuendelee kusumbuka kukuelewa kwenye baadhi ya post zako.

Ova
Kumbe una matatizo ya kuelewa?
Sasa hao ulio waita watakusaidia vipi katika hilo?

Mimi nilidhani tatizo unalo lalamikia ni la" kiufundi" wa kutumia nyenzo, kumbe sivyo?
 
Mkuu
Bora uchill tu.

Ungeshiriki kukemea ukenge huu wa utekaji na mauaji ya raia labda ungekuwa mtu wa maana.

Lakini kupitia maandamano haya tumegundua tunaishi humu na mtandao wa watu hatari sana
 
Ni kweli kabisa kuandamana ni haki na jeshi la Polisi lina haki kuyazuia kwasababu za kiusalama, kuandamana maandamano yaliyo zuiwa ni kushiriki maandamano haramu.
P
Polisi wana wajibu wa kuyalinda maandamano na kuzuia hivyo viashiria vya uvunjifu wa amani (kama vipo).
 
Polisi wana wajibu wa kuyalinda maandamano na kuzuia hivyo viashiria vya uvunjifu wa amani (kama vipo).
Kwa vile kwa hapa Tanzania polisi ndio mamlaka halali ya usalama wa raia na mali zake, wakipata taarifa zozote za kiinteligensia za uwezekano wa uvunjifu wa amani, wana wajibu wa kuyazuia kwasababu za kiusalama.
Tuendelee kuwasisitiza Chadema wasiandamane maandamano haramu!.
P
 
Thanks for this full of data with evidence. Naendelea kuwasisitiza Chadema Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
P
 
Expecting results from what you know, yaani unajua kabisa mchezo wa marudiano kati yanga sc na vital 'o', mshindi atakuwa ni yanga SC lakini wewe unapo beti unaipa ushindi vitali'o, kwavile msemaji wa hiyo timu kaongea kwa ujasiri, siku hizi watu wanajua sana maigizo nyuma ya mikamera
 
Policcm ndio wanaosababisha hayo, kwani kuyaacha maandamano yafanyike kwa amani kuna sheria inavunjwa?

Hivi ccm wakifanya maandamano ya kumpongeza hangaya policcm hawatoi ulinzi?
 
Swali fikirishi hawa polisi wa Tanzania hii intelijensia yao inafanya kazi kwenye maandamano ya chadema tu, lakini maandamano ya watekaji intelijensia yao haifanyi kazi? yaani wasiojulikana tangia waanze kutojulikana ni muda mrefu sasa, hiyo intelijensia bado tu hadi leo, you can fool some people all the time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…