Pre GE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani CCM ndio inawatumia wanachama na viongozi wa CHADEMA kutukanana na kushambuliana hadharani?
Wapi umeona wewe? Hayo mambo ya kutengeneza kwenye mitandao

Mbona makonda anatukanana live na bashe au Mary chatanda

Cha ajabu Nini dogo?
 
Wapi umeona wewe? Hayo mambo ya kutengeneza kwenye mitandao

Mbona makonda anatukanana live na bashe au Mary chatanda

Cha ajabu Nini dogo?
Kwa hiyo Msingwa katengenezwa na nani? Au hujamsikia anavyoongea?
 
Mimi siyo chawa bali ni mzalendo na msema kweli na ninaishi kwa jasho la mikono yangu.
Hapana hapana atafutae Kwa jasho hawezi kuwa mtetezi wa haya manyang'au ya CCM mwenye njaa pekee ndio anaweza ndio nyinyi ila nakuhakikishia huwezi enda mbali mbona vihele hele Kama wewe walikuwepo mwisho waliishia kubadili I'd na Wala tubu makosa Yao yuko wapi kaada mtiifu lizaboni tukowapi stroke na wengine wengi tu wapo kimya na wewe mpaka tunamaliza uchaguzi ITAKUA ulishapoa ukipinga basi wewe ni mchawi
 
Mimi naandika humu kwa uzalendo wangu na siyo kwa sababu ya njaa.maana hata ningekuwa na njaa jukwaa hili siyo shamba la kupatia chakula na wala hakuna ugali unaogawiwa humu ndani.
 
Mimi naandika humu kwa uzalendo wangu na siyo kwa sababu ya njaa.maana hata ningekuwa na njaa jukwaa hili siyo shamba la kupatia chakula na wala hakuna ugali unaogawiwa humu ndani.
Ugali upo LUMUMBA buku7 si ndio ugali wenyewe dada au unajitoa ufahamu?
 
DALILI MBONA ZIMESHAONEKANA TAYARI WANAGAWANA FITO HAO SASAHIVI
 
Nadhani uwezo wako wa kufikiri au kutathimini issues umepungua
 
We POPOMALISM
 
Chadema ipo lakini siyo Chadema ile ya uchaguzi mkuu wa 2010 na 2015.
Chadema ya Katibu Mkuu Siraha na ya sasa ni vitu viwili tofauti.
Japo imepitia kwenye matatizo mengi hasa wakati wa utawala wa mkono chuma wa mjomba Magu,lakini mvuto umepungua.
Sababu zipo kadhaa-:
Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa vioja.
Uhuni na sintofahamu kuwapachika ubunge viti maalum "Covid 19".
Kifo cha Raisi Magu na Ujio wa Raisi Samia.
Ukata ndani ya chama baada ya kupungua vyanzo vya mapato.
Kupungua kwa mvuto baadhi viogozi na makada.
Kutokuwepo ushirikiano wa vyama vya upinzani hasa wakati chaguzi za kitaifa.
Nadhani Chadema inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi na sera kabla ya uchaguzi mkuu 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…