Unamsema makonda na chatanda au? Wale mawaziri wanaomtukana raisiChama gani imara ambacho viongozi na wanachama wanashambuliana hadharani? Chama gani kisichofuata na kuheshimu katiba yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsema makonda na chatanda au? Wale mawaziri wanaomtukana raisiChama gani imara ambacho viongozi na wanachama wanashambuliana hadharani? Chama gani kisichofuata na kuheshimu katiba yake?
Walisema chadema itakufa mbona eamekufa waoSiyo matamanio bali ndio ukweli wenyewe huo kuwa CHADEMA inakwenda kusambaratika na kupasuka vipande vipande.
Kwani CCM ndio inawatumia wanachama na viongozi wa CHADEMA kutukanana na kushambuliana hadharani?Walisema chadema itakufa mbona eamekufa wao
Hii project ya tiss na Lumumba imeishafeli kabla
Wapi umeona wewe? Hayo mambo ya kutengeneza kwenye mitandaoKwani CCM ndio inawatumia wanachama na viongozi wa CHADEMA kutukanana na kushambuliana hadharani?
Kwa hiyo Msingwa katengenezwa na nani? Au hujamsikia anavyoongea?Wapi umeona wewe? Hayo mambo ya kutengeneza kwenye mitandao
Mbona makonda anatukanana live na bashe au Mary chatanda
Cha ajabu Nini dogo?
Imetengenezwa na kitengo (tiss ) dogo! acha kufurahia kama zuzu hii Dunia Ina mambo mengiKwa hiyo Msingwa katengenezwa na nani? Au hujamsikia anavyoongea?
Hujui unachokisema wewe dogo.Ndani ya CCM ni amani ,umoja , mshikamano na upendo tu.
Matatizo yenu yamalizeni wenyewe na siyo kumtupia mtu lawama kwa uchumia tumbo wenu na usaka Tonge.Imetengenezwa na kitengo (tiss ) dogo! acha kufurahia kama zuzu hii Dunia Ina mambo mengi
Chadema ikisambalatika si ndio mwisho wa chawa utakura wapi Sasa au uchoko NAO unalipa vile vile pale LUMUMBA?Siyo matamanio bali ndio ukweli wenyewe huo kuwa CHADEMA inakwenda kusambaratika na kupasuka vipande vipande.
Mimi siyo chawa bali ni mzalendo na msema kweli na ninaishi kwa jasho la mikono yangu.Chadema ikisambalatika si ndio mwisho wa chawa utakura wapi Sasa au uchoko NAO unalipa vile vile pale LUMUMBA?
Hapana hapana atafutae Kwa jasho hawezi kuwa mtetezi wa haya manyang'au ya CCM mwenye njaa pekee ndio anaweza ndio nyinyi ila nakuhakikishia huwezi enda mbali mbona vihele hele Kama wewe walikuwepo mwisho waliishia kubadili I'd na Wala tubu makosa Yao yuko wapi kaada mtiifu lizaboni tukowapi stroke na wengine wengi tu wapo kimya na wewe mpaka tunamaliza uchaguzi ITAKUA ulishapoa ukipinga basi wewe ni mchawiMimi siyo chawa bali ni mzalendo na msema kweli na ninaishi kwa jasho la mikono yangu.
Mimi naandika humu kwa uzalendo wangu na siyo kwa sababu ya njaa.maana hata ningekuwa na njaa jukwaa hili siyo shamba la kupatia chakula na wala hakuna ugali unaogawiwa humu ndani.Hapana hapana atafutae Kwa jasho hawezi kuwa mtetezi wa haya manyang'au ya CCM mwenye njaa pekee ndio anaweza ndio nyinyi ila nakuhakikishia huwezi enda mbali mbona vihele hele Kama wewe walikuwepo mwisho waliishia kubadili I'd na Wala tubu makosa Yao yuko wapi kaada mtiifu lizaboni tukowapi stroke na wengine wengi tu wapo kimya na wewe mpaka tunamaliza uchaguzi ITAKUA ulishapoa ukipinga basi wewe ni mchawi
Ugali upo LUMUMBA buku7 si ndio ugali wenyewe dada au unajitoa ufahamu?Mimi naandika humu kwa uzalendo wangu na siyo kwa sababu ya njaa.maana hata ningekuwa na njaa jukwaa hili siyo shamba la kupatia chakula na wala hakuna ugali unaogawiwa humu ndani.
DALILI MBONA ZIMESHAONEKANA TAYARI WANAGAWANA FITO HAO SASAHIVINdugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na kufikiri vyema anaona wazi kabisa kuwa chama hiki kilichopata kujizolea umaarufu na kuwa na ushawishi hasa kwa vijana, kinakwenda kuingia uchaguzi mkuu hapo mwakani kikiwa Kimesambaratika na kupasuka pasuka vipande vipande kama kioo.
CHADEMA inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ikiwa haina umoja wala mshikamano wala malengo mamoja. kila mtu anakwenda akiwa na lengo la kusaka Tonge lake kwa ajili ya tumbo lake.kila mtu anakwenda kugombea fito yake.hakutakuwa na mipango au mapambano ya kupigania na kupambania ushindi wa chama,bali kila mmoja ataangalia maslahi yake binafsi.kila mtu atajiangalia anapata nini na siyo chama kinashinda nini na kupata nini.
Kila mtu ndani ya chama atakuwa anaangalia awe upande wa kiongozi yupi ili apate Tonge lake,badala ya kusimama katika nguzo zilizoshikilia chama. Ukiona viongozi wa juu kama wajumbe wa kamati kuu pamoja na wanachama wao wanatoka hadharani kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wanatupiana maneno ya kukejeliana,kudhalauliana, kudhalilishana,kuongelea maisha binafsi baina yao,kushutumiana,kurushiana Madongo na kushushiana heshima.
Basi ujuwe mahali hapo hakuna chama wala umoja wa kichama.bali kuna Mpasuko mkubwa sana na mashindano ya kupigania maslahi binafsi ya kila mmoja na tumbo lake. Ukiona mambo yaliyopaswa kuzungumzwa katika vikao vya chama yanazungumzwa hadharani ,basi ujuwe huko ndani kunawaka moto mkali sana ambapo hakuna anayetaka kukaa huko ndani kupeleka jambo lake maana hakukaliki wala kuaminika kwa usalama wa kila mtu.
Kwa sababu chama imara kinachojiendesha kitaasisi na chenye kuheshimu katiba na maadili ya chama huwezi ukaona malumbano ya viongozi kwa viongozi au viongozi na wanachama yakifanyika hadharani na kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.ikifika hapo maana yake ni kuwa ndani ya chama hakuna kuaminiana wala kuheshimiana zaidi ya kila mtu kujiona ni beberu au jogoo anayewika au kila mtu anajiona yeye ndiye chama.
Athari ya hali hii ni kuwa chama hakiwezi kuwa na nguvu na wala hakiwezi kushinda uchaguzi wowote ule.kwa sababu ushindi wa chama unaanzia ndani ya chama kikiwa imara na umoja nakwenda pamoja nje kupambana na vyama vingine kikiwa kimeshikamana na kuungana.Ibada njema huanzia ndani. Sasa kama mmegawanyika ninyi kwa ninyi ni vipi mtamshinda mshindani wenu aliye na nguvu,umoja, mshikamano na hamasa ya juu? Ni vipi utashindana na na jeshi lililo na umoja , morali na kiu ya ushindi wakati wewe unakwenda vitani ukiwa huna morali wala nguvu wala umoja wala hamasa?
Halafu kwa upofu wa akili na macho utasikia baada ya uchaguzi mkuu mtu anatoka hadharani na mdomo wake anaropoka bila aibu wala haya kuwa ameibiwa kura.
Kazi iendelee. Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wanatawanyika na kusambaratishwa utafikiri wamepulizwa na Upepo mkali.DALILI MBONA ZIMESHAONEKANA TAYARI WANAGAWANA FITO HAO SASAHIVI
Nadhani uwezo wako wa kufikiri au kutathimini issues umepunguaNdugu zangu Watanzania,

We POPOMALISMNdugu zangu Watanzania,

Chadema ipo lakini siyo Chadema ile ya uchaguzi mkuu wa 2010 na 2015.CHADEMA kwa sasa haiwezi na wala haina ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura.maana imeshasambaratika na kujidhoofisha yenyewe kwa yenyewe na ndio maana unaona viongozi na wanachama wakishambuliana wenyewe kwa wenyewe hadharani.