Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.