Pre GE2025 CHADEMA itanufaika zaidi Luhaga Mpina akiwa mgombea wake wa urais wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sera atazielewa tu huko mbele kwa mbele. Itasaidia nini uwe na mtu anayezielewa sera kama encyclopedia lakini hawezi kushawishi watu, kuleta kura za kutosha na ushindani wa kukitikisa chama dola?!
Hii dhana CHADEMA walishaijaribu kwa Shibuda, Sumaye na Lowassa ikawaletea matatizo sana.

Kwa watu wote hao.
 
Duh!...yaani Chadema haina mgombea Urais mpaka ifanye usajili kutoka Ccm?
CHADEMA haiwezi kukosa wagombea urais, inao wakina Yericko Nyerere, Lema, Wenje, Mbowe, Lissu n.k Mimi nimeona Mpina atawafaa zaidi kulingana na hali ya kisiasa ya sasa.
 
Mpina HAPANA hafai kuwa Rais achilia mbali kugombea
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake. Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
 
Hii dhana CHADEMA walishaijaribu kwa Shibuda, Sumaye na Lowassa ikawaletea matatizo sana.

Kwa watu wote hao.
Waliijaribu kwa Lowassa tu na iliwalipa sana, Lowassa ndiye mgombea wa upinzani aliyepata kura nyingi zaidi katika chaguzi zote za nchi hii na kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru huenda 2015 tungeongea mambo mengine. Hata kupatikana wabunge wengi 2015 CHADEMA upepo wa Lowassa ulikuwa na mchango pia.
 
Sera atazielewa tu huko mbele kwa mbele. Itasaidia nini uwe na mtu anayezielewa sera kama encyclopedia lakini hawezi kushawishi watu, kuleta kura za kutosha na ushindani wa kukitikisa chama dola?!
Bila hata Mpina ,.. Kanda ya Ziwa inangukia upinzani mubaki tu yale maeneo mnaovalisha tshirt, kofia na vitenge ndio mtachagua Mama yenu..
 
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.

Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Labda awe Mgombea mwenza, kwa sasa Mgombea ni LISSU.
 
Waliijaribu kwa Lowassa tu na iliwalipa sana, Lowassa ndiye mgombea wa upinzani aliyepata kura nyingi zaidi katika chaguzi zote za nchi hii na kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru huenda 2015 tungeongea mambo mengine. Hata kupatikana wabunge wengi 2015 CHADEMA upepo wa Lowassa ulikuwa na mchango pia.
Iliwalipa vipi wakati CHADEMA imeingia doa la kumkubali mgombea fisadi mpaka leo, doa lililopelekea Katibu Mkuu Slaa kuondoka CHADEMA na mengi kudhoofika?

Tatizo unaangalia kupata kura nyingi bila kuangalia misingi ya chama.

Unataka kura nyingi. Sawa.

Vipi kama CCM wakiweka mkakati wa kumpenyeza mgombea wao CHADEMA halafu mgombea huyo aende kukihujumu na kukiua CHADEMA.

Mnamkubali mgombea CHADEMA kwa sababu mnaona atakipa chama kura nyingi, wakati hamjam test mgombea, hajui sera, baadaye anakuja kukihujumu chama.

Hapo napo utaona chama kimefaidika?
 
Hakuna doa lolote, watu wameshasahau hayo ya Lowassa. Halafu kama ingekuwa ni kosa la kimkakati CHADEMA kumchukua Lowassa 2015 ilikuaje dola ikatumia nguvu kubwa hivyo kuibamiza CHADEMA 2016-?
 
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.

Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Tulia wewe ,ya chadema yanawawasha nini ili hali ccm mnasema tiyari mpo na Mgombea
 
Hakuna doa lolote, watu wameshasahau hayo ya Lowassa. Halafu kama ingekuwa ni kosa la kimkakati CHADEMA kumchukua Lowassa 2015 ilikuaje dola ikatumia nguvu kubwa hivyo kuibamiza CHADEMA 2016-?
Hakuna doa au doa lipo watu wameshasahau?

Hayo ni mambo mawili tofauti.

Unapohoji kama lilikuwa kosa la mkakati kumchukua Lowassa mbona dola lilitumia nguvu sana, this is a false dichotomy.

Inawezekana wote wajinga, upinzani na serikali wote wajinga.

Inawezekana Lowassa alikuwa threat kwa CCM kweli lakini hilo halimaanishi hakuwa tatizo kwa CHADEMA.

Imagine Lowassa mwenye mikakati yofauti kabisa na ya CHADEMA anashinda uchaguzi, hataki sera zote za CHADEMA. Hapo urais wa Lowassa ungeisaidiaje CHADEMA ku advance sera zake?
 
Kwa nchi hii hata aje trump kushindana na samia, samia lazima ashinde huijui ccm vizuri wewe
 
CHADEMA haiwezi kukosa wagombea urais, inao wakina Yericko Nyerere, Lema, Wenje, Mbowe, Lissu n.k Mimi nimeona Mpina atawafaa zaidi kulingana na hali ya kisiasa ya sasa.
Mpina kwa ufupi asahau kugombea pitia chadema, chadema tiyari ina watu wa kutuvusha na kumalizana na ccm
 
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.

Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Luhaga Mpina pamoja na uzalendo anaonyesha kwenye vyombo vya habari, kuwa Rais ni cheo kikubwa sana kwake, ubunge unamtosha,
 
Onaa hii mbuzi jike, Uwezo wa akili wa MPINA unaufananisha na baba yako?.

Ukiona MTU kama Mpina anaungwa mkono na Lissu, Mwabukusi, TEC, Prof Shivj, Jaji Warioba , n.k n.k Wazalendo wa Nchii hii, wewe ni nani mjingajinga Mmoja hata ufunue Domo lako kumsema mpina?.
Ona hii mbuzi jike et😅😅😅😅
 
Mpina baba ako nini mbona una mtetea sana au kisa alikutoa bikra ya rinda au ndo una mpango wa kumzawadia rinda nini, komaa
 
Back
Top Bottom