Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Cdm wasirudie tena huo ujinga wa kuokoteza wagombea toka ccm, kosa la Lowassa lisikae likarudiwa tena. Kama Mpina ana ushawishe aende chama chochote cha upinzani akapatie hizo kura huko, ila sio cdm.Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.