Hii dhana CHADEMA walishaijaribu kwa Shibuda, Sumaye na Lowassa ikawaletea matatizo sana.Sera atazielewa tu huko mbele kwa mbele. Itasaidia nini uwe na mtu anayezielewa sera kama encyclopedia lakini hawezi kushawishi watu, kuleta kura za kutosha na ushindani wa kukitikisa chama dola?!
CHADEMA haiwezi kukosa wagombea urais, inao wakina Yericko Nyerere, Lema, Wenje, Mbowe, Lissu n.k Mimi nimeona Mpina atawafaa zaidi kulingana na hali ya kisiasa ya sasa.Duh!...yaani Chadema haina mgombea Urais mpaka ifanye usajili kutoka Ccm?
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake. Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Waliijaribu kwa Lowassa tu na iliwalipa sana, Lowassa ndiye mgombea wa upinzani aliyepata kura nyingi zaidi katika chaguzi zote za nchi hii na kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru huenda 2015 tungeongea mambo mengine. Hata kupatikana wabunge wengi 2015 CHADEMA upepo wa Lowassa ulikuwa na mchango pia.Hii dhana CHADEMA walishaijaribu kwa Shibuda, Sumaye na Lowassa ikawaletea matatizo sana.
Kwa watu wote hao.
Bila hata Mpina ,.. Kanda ya Ziwa inangukia upinzani mubaki tu yale maeneo mnaovalisha tshirt, kofia na vitenge ndio mtachagua Mama yenu..Sera atazielewa tu huko mbele kwa mbele. Itasaidia nini uwe na mtu anayezielewa sera kama encyclopedia lakini hawezi kushawishi watu, kuleta kura za kutosha na ushindani wa kukitikisa chama dola?!
Labda awe Mgombea mwenza, kwa sasa Mgombea ni LISSU.Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Mpina ni kama jiwe ila yeye ni intellectual zaidi na communication skills zake ni kubwa kuliko jiwe.
Iliwalipa vipi wakati CHADEMA imeingia doa la kumkubali mgombea fisadi mpaka leo, doa lililopelekea Katibu Mkuu Slaa kuondoka CHADEMA na mengi kudhoofika?Waliijaribu kwa Lowassa tu na iliwalipa sana, Lowassa ndiye mgombea wa upinzani aliyepata kura nyingi zaidi katika chaguzi zote za nchi hii na kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru huenda 2015 tungeongea mambo mengine. Hata kupatikana wabunge wengi 2015 CHADEMA upepo wa Lowassa ulikuwa na mchango pia.
Hakuna doa lolote, watu wameshasahau hayo ya Lowassa. Halafu kama ingekuwa ni kosa la kimkakati CHADEMA kumchukua Lowassa 2015 ilikuaje dola ikatumia nguvu kubwa hivyo kuibamiza CHADEMA 2016-?Iliwalipa vipi wakati CHADEMA imeingia doa la kumkubali mgombea fisadi mpaka leo, doa lililopelekea Katibu Mkuu Slaa kuondoka CHADEMA na mengi kudhoofika?
Tatizo unaangalia kupata kura nyingi bila kuangalia misingi ya chama.
Unataka kura nyingi. Sawa.
Vipi kama CCM wakiweka mkakati wa kumpenyeza mgombea wao CHADEMA halafu mgombea huyo aende kukihujumu na kukiua CHADEMA.
Mnamkubali mgombea CHADEMA kwa sababu mnaona atakipa chama kura nyingi, wakati hamjam test mgombea, hajui sera, baadaye anakuja kukihujumu chama.
Hapo napo utaona chama kimefaidika?
Tulia wewe ,ya chadema yanawawasha nini ili hali ccm mnasema tiyari mpo na MgombeaHuyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Hakuna doa au doa lipo watu wameshasahau?Hakuna doa lolote, watu wameshasahau hayo ya Lowassa. Halafu kama ingekuwa ni kosa la kimkakati CHADEMA kumchukua Lowassa 2015 ilikuaje dola ikatumia nguvu kubwa hivyo kuibamiza CHADEMA 2016-?
Mpina kwa ufupi asahau kugombea pitia chadema, chadema tiyari ina watu wa kutuvusha na kumalizana na ccmCHADEMA haiwezi kukosa wagombea urais, inao wakina Yericko Nyerere, Lema, Wenje, Mbowe, Lissu n.k Mimi nimeona Mpina atawafaa zaidi kulingana na hali ya kisiasa ya sasa.
Akiwa mgombea ni Lisu, mwenza lazima awe Mzanzibari.Labda awe Mgombea mwenza, kwa sasa Mgombea ni LISSU.
Basi akae kwa kutulia, atapata nafasi ya Ubunge then PMAkiwa mgombea ni Lisu, mwenza lazima awe Mzanzibari.
Luhaga Mpina pamoja na uzalendo anaonyesha kwenye vyombo vya habari, kuwa Rais ni cheo kikubwa sana kwake, ubunge unamtosha,Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Ona hii mbuzi jike etπ π π πOnaa hii mbuzi jike, Uwezo wa akili wa MPINA unaufananisha na baba yako?.
Ukiona MTU kama Mpina anaungwa mkono na Lissu, Mwabukusi, TEC, Prof Shivj, Jaji Warioba , n.k n.k Wazalendo wa Nchii hii, wewe ni nani mjingajinga Mmoja hata ufunue Domo lako kumsema mpina?.
Mpina baba ako nini mbona una mtetea sana au kisa alikutoa bikra ya rinda au ndo una mpango wa kumzawadia rinda nini, komaaOnaa hii mbuzi jike, Uwezo wa akili wa MPINA unaufananisha na baba yako?.
Ukiona MTU kama Mpina anaungwa mkono na Lissu, Mwabukusi, TEC, Prof Shivj, Jaji Warioba , n.k n.k Wazalendo wa Nchii hii, wewe ni nani mjingajinga Mmoja hata ufunue Domo lako kumsema mpina?.