Pre GE2025 CHADEMA itanufaika zaidi Luhaga Mpina akiwa mgombea wake wa urais wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cdm wasirudie tena huo ujinga wa kuokoteza wagombea toka ccm, kosa la Lowassa lisikae likarudiwa tena. Kama Mpina ana ushawishe aende chama chochote cha upinzani akapatie hizo kura huko, ila sio cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…