Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

Kama mnataka kura zipungue kutoka mil 6 mbaka mil 2 asimame lisu
Lisu ajui kujenga hoja
Lisu ni mwana harakati
Watanzania hivi sasa sio wajinga wa kuletewa porojo wanataka fact katika maendeleo yao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika tunakosea sn kuruhusu Multi-party kutokana na umaskini wa nchi zetu, turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa mwanzo, Mbowe, Lissu na wenzie watakuwa wazalendo endapo wataingia ndani ya Chama X let's say (Tanu) then wagombane kwa hoja na wakubaliane hili nchi iendelee.
 
Chadema hii inayoongozwa na dikteta mbowe mwenyekiti wa maisha.Mwaka huu mnalo,mkipata wabunge watatu mshukuru sana
 
Uko sahihi na tunavyokaribia uchaguzi naiona dalili ya ccm kuangukia pua
 
urais upi kwanza labda wa tff lakini wa nchi mnaota tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…