CHADEMA itashiriki uchaguzi mdogo kule Kigoma?

CHADEMA itashiriki uchaguzi mdogo kule Kigoma?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia.

Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana vidole, ndio najiuliza Chadema watashiriki uchaguzi huo mdogo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kusema sio kutenda maana ccm ni wale wale, vitendo ndio vinaongea zaidi, lakini kwa upande naona kabisa hatakuwa na jipya kwa huruka ya ccm aka gambas.
 
Wanaweza wakashiriki kupima upepo kama mawazo ya marehemu bado yanaishi kwenye vichwa vya hawa waliopo.

Naamini wangegoma mpaka Katiba Mpya ipatikane ingependeza zaidi.
 
Sasa rais kama kasema hivyo huoni kama MATAGA kama wewe A.K.A wachumia tumbo, wazee wa majungu ndiyo mtakosa mkate wenu wa kila siku?
 
Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia.

Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana vidole, ndio najiuliza Chadema watashiriki uchaguzi huo mdogo?

Maendeleo hayana vyama!

Kwani Tume ya Uchaguzi imebadilishwa?

Amandla...
 
Back
Top Bottom