Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Katika kunadi sera hizo, Sera za majimbo zimekua mwiba kwa Chama cha mapinduzi, Hadi kufikia hatua mgombea wa CCM kupotosha Umma wa raia kwamba sera za majimbo zitaleta mvurugano na kupoteza amani ya nchi.
Soma rasimu ya katiba mpya ya Jaji warioba utaipata yote kwa mapana yakeKama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo...
Tafuta rasimu ya katiba ya Jaji Warioba maana Lissu kaitoa huko. Ni document halali iliyo tumia mabilioni mengi ya Watanzania chini ya utawala huu huu wa Ccm.Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo....
kwanini? majimbo si zaidi ya mikoaa? ka tunamikoa tukiwa na majimbo ubaya ni upiii? najaribugi kuangalia baadhi ya nchi nyingine zenye majimbohii sera huku mtaan imeleta taharuki.sisi peoples imetupa wakat mgumu wa kueleweka kwa wananchi.kwa kweli tumekosea sana kutupa hii kete ya majimbo.imetuvua nguo sis wana chadema tawi ka mgundin
Sera haijaleta taharuki, Ila kinachotakiwa na ufafanuzi zaidi kwa umma, Raia wengi hawana ufahamu juu ya serikali za majimbo hivyo upotoshaji ni mwingi.hii sera huku mtaan imeleta taharuki.sisi peoples imetupa wakat mgumu wa kueleweka kwa wananchi.kwa kweli tumekosea sana kutupa hii kete ya majimbo.imetuvua nguo sis wana chadema tawi ka mgundin
Serikali dhalmu lazima tuiondoshe madarakani 28 OctTafuta rasimu ya katiba ya Jaji Warioba maana Lissu kaitoa huko. Ni document halali iliyo tumia mabilioni mengi ya Watanzania chini ya utawala huu huu wa Ccm...
kwanini? majimbo si zaidi ya mikoaa? ka tunamikoa tukiwa na majimbo ubaya ni upiii? najaribugi kuangalia baadhi ya nchi nyingine zenye majimbo
Ni sawa CHADEMA itatoa ufafanuzi. Alichoeleza jiwe jana kuhusu Sera ya Majimbo amefeli kabisa. Amepata alama 30%. Ni zuzu.Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo...
Ni sawa CHADEMA itatoa ufafanuzi. Alichoeleza jiwe jana kuhusu Sera ya Majimbo amefeli kabisa. Amepata alama 30%. Ni zuzu.
kwa mantiki hiyo ni sawa ila majimbo hayana hivyo maana inaunganisha mikoa kadhaa kulingana na vileo wanaona, ingekuwa majimbo yanaleta ukabila basi mikoa ingekuwa ni zaidi hizi zinazofanyika ni propaganda tuu ambazo baadhi ya watu hawaelewikarata ya CCM imebaki kwenye ukabila udini nk maana hawana hoja za kueleza kwa raia ni namna gani majimbo yataligawa taifa?
Safi sana! Sasa mngeitumia na kwenye maandamano, siyo mnarundikana Dar tu. Majimbo yanabaki midomoni tu...Kama mikoa 21 haikuleta ukabila , basi majimbo 10 hayawawezi leta ukabila.