Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za Majimbo.
Katika kunadi sera hizo, Sera za Majimbo zimekua mwiba kwa Chama cha Mapinduzi, Hadi kufikia hatua mgombea wa CCM kupotosha Umma wa raia kwamba sera za majimbo zitaleta mvurugano na kupoteza amani ya nchi.
Kwa namna ya pekee tunaiomba idara ya mawasiliano kwa umma (CHADEMA) itoe ufafanuzi juu ya sera hii ili raia wajue faida za kuwa na majimbo na hasara za kutokua na majimbo.
Nawasilisha.
28/10/2020 tukapige kura ya haki dhidi ya dhulma.