Uchaguzi 2020 CHADEMA itoe ufafanuzi wa Sera ya Majimbo

Uchaguzi 2020 CHADEMA itoe ufafanuzi wa Sera ya Majimbo

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za Majimbo.

Katika kunadi sera hizo, Sera za Majimbo zimekua mwiba kwa Chama cha Mapinduzi, Hadi kufikia hatua mgombea wa CCM kupotosha Umma wa raia kwamba sera za majimbo zitaleta mvurugano na kupoteza amani ya nchi.

Kwa namna ya pekee tunaiomba idara ya mawasiliano kwa umma (CHADEMA) itoe ufafanuzi juu ya sera hii ili raia wajue faida za kuwa na majimbo na hasara za kutokua na majimbo.

Nawasilisha.

28/10/2020 tukapige kura ya haki dhidi ya dhulma.
 
Kwa mdundo huu hata akisema kila mkoa na Raisi wake basi ndio anazidi kutumaliza na kummiminia kura za ndio kwani uhuru ni kitu kingine kabisa,Watanzania wameanza kunusa harufu ya uhuru wa kweli katika nchi au ndani ya nchi yao.

CCM ni shida na wasiwasi na sasa woga wa kupitiliza.
 
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo...
Soma rasimu ya katiba mpya ya Jaji warioba utaipata yote kwa mapana yake
 
CHADEMA mjitahidi kuelezea kuhusu sera za majimbo. Lissu pia asiseme "MMENIPATA AU MMENIELEWA" aongee straight ili speech yake iwe na flow nzuri. Ana hoja nzuri sana ila aweke vizuri isiwe na ambiguity. Anajitahidi sana Lissu.
 
hii sera huku mtaan imeleta taharuki.sisi peoples imetupa wakat mgumu wa kueleweka kwa wananchi.kwa kweli tumekosea sana kutupa hii kete ya majimbo.imetuvua nguo sis wana chadema tawi ka mgundin
 
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo....
Tafuta rasimu ya katiba ya Jaji Warioba maana Lissu kaitoa huko. Ni document halali iliyo tumia mabilioni mengi ya Watanzania chini ya utawala huu huu wa Ccm.

Halafu kama kawaida Ccm isivyo na huruma na pesa zetu wakaiweka kapuni kuhofia watakosa kuiba maana kila jimbo linge jua lina kusanya kiasi gani.. Ccm wezi wa mchana.

Hebu fikiria mgombea wa Ccm anaomba kura ila ana tishia sehemu atakazo kosa kura zake, mbunge na diwani hata peleka maendeleo huku ana kusanya huko kodi... Huu ni wizi na ni dharau kwa Watanzania. Sasaaaa!!!!!! Baaaasiii!!!!!!??
 
Nadhani kikubwa hapo ni wakuu wa mikoa wapigiwe kura sio wateuliwe na Rais then wapiga kura wawe na uwezo wa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae pindi akiboronga katika uongozi wake
 
hii sera huku mtaan imeleta taharuki.sisi peoples imetupa wakat mgumu wa kueleweka kwa wananchi.kwa kweli tumekosea sana kutupa hii kete ya majimbo.imetuvua nguo sis wana chadema tawi ka mgundin
kwanini? majimbo si zaidi ya mikoaa? ka tunamikoa tukiwa na majimbo ubaya ni upiii? najaribugi kuangalia baadhi ya nchi nyingine zenye majimbo
 
hii sera huku mtaan imeleta taharuki.sisi peoples imetupa wakat mgumu wa kueleweka kwa wananchi.kwa kweli tumekosea sana kutupa hii kete ya majimbo.imetuvua nguo sis wana chadema tawi ka mgundin
Sera haijaleta taharuki, Ila kinachotakiwa na ufafanuzi zaidi kwa umma, Raia wengi hawana ufahamu juu ya serikali za majimbo hivyo upotoshaji ni mwingi.
 
Tafuta rasimu ya katiba ya Jaji Warioba maana Lissu kaitoa huko. Ni document halali iliyo tumia mabilioni mengi ya Watanzania chini ya utawala huu huu wa Ccm...
Serikali dhalmu lazima tuiondoshe madarakani 28 Oct
 
karata ya CCM imebaki kwenye ukabila udini nk maana hawana hoja za kueleza kwa raia ni namna gani majimbo yataligawa taifa?
kwanini? majimbo si zaidi ya mikoaa? ka tunamikoa tukiwa na majimbo ubaya ni upiii? najaribugi kuangalia baadhi ya nchi nyingine zenye majimbo
 
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za majimbo...
Ni sawa CHADEMA itatoa ufafanuzi. Alichoeleza jiwe jana kuhusu Sera ya Majimbo amefeli kabisa. Amepata alama 30%. Ni zuzu.
 
Anaujua ukweli lakini kwa sababu hataki kukubali basi anawalisha raia matango pori.
Ni sawa CHADEMA itatoa ufafanuzi. Alichoeleza jiwe jana kuhusu Sera ya Majimbo amefeli kabisa. Amepata alama 30%. Ni zuzu.
 
karata ya CCM imebaki kwenye ukabila udini nk maana hawana hoja za kueleza kwa raia ni namna gani majimbo yataligawa taifa?
kwa mantiki hiyo ni sawa ila majimbo hayana hivyo maana inaunganisha mikoa kadhaa kulingana na vileo wanaona, ingekuwa majimbo yanaleta ukabila basi mikoa ingekuwa ni zaidi hizi zinazofanyika ni propaganda tuu ambazo baadhi ya watu hawaelewi
 
lengo nikuindoa CCM kwenye ufalme,ayo mengine yatajiseti wenyewe wewe yasikilize tu.
 
Back
Top Bottom