LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.

Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na wanapitia madhira yale yale wanayoyapitia CHADEMA, na wananchi kwa ujumla, japo kwa viwango tofauti.

Viongozi kama Zitto Kabwe, naamini bado ana nguvu, ujasiri na ushawishi pia.

DHuluma ya CCM dhidi ya umma wa Watanzania, ituunganishe Watanzania wote wenye dhamira njema, iviunganishe vyama vyote vya siasa vyenye dhamira njema, hata kama vyama hivyo pengine havina nguvu zinazolingana.

Hivyo ni muhimu, ikiwezekana, Kamati kuu ya CHADEMA ijadili namna ya kushirikisha vyama vyote vyenye dhamira njema, katika kufikia uamuzi wa pamoja, juu ya hatua za kuchukua baada ya uchaguzi kuharibiwa kwa kiwango kisichotibika.

Ushauri wangu, kwanza ni kuitaka serikali kuufuta uchaguzi huu kwa kuwa ni haramu. Uchaguzi uitishwe upya na usimamiwe na Tume ya uchaguzi, waziri Mchengerwa afunguliwe mashtaka ya uhaini, kwa kosa la kutaka kuteka mamlaka ya wananchi.
 
Uchaguzi ushapita mmeshindwa fanyeni kazi zingine.
After all mnaonekana wafanya vurugu tu
 
Hao chadema ni wapuuzi pia walitegemea kupanda mahindi kisha wavune viazi? Ccm ni mbele kwa mbele
 
Chadema wawaambie MAASKOFU wavue magauni yao kisha wavae magwanda wauungane nao ulingoni.

Hapo watachukua dola mapema tuh.
 
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.

Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na wanapitia madhira yale yale wanayoyapitia CHADEMA, na wananchi kwa ujumla, japo kwa viwango tofauti.

Viongozi kama Zitto Kabwe, naamini bado ana nguvu, ujasiri na ushawishi pia.

DHuluma ya CCM dhidi ya umma wa Watanzania, ituunganishe Watanzania wote wenye dhamira njema, iviunganishe vyama vyote vya siasa vyenye dhamira njema, hata kama vyama hivyo pengine havina nguvu zinazolingana.

Hivyo ni muhimu, ikiwezekana, Kamati kuu ya CHADEMA ijadili namna ya kushirikisha vyama vyote vyenye dhamira njema, katika kufikia uamuzi wa pamoja, juu ya hatua za kuchukua baada ya uchaguzi kuharibiwa kwa kiwango kisichotibika.

Ushauri wangu, kwanza ni kuitaka serikali kuufuta uchaguzi huu kwa kuwa ni haramu. Uchaguzi uitishwe upya na usimamiwe na Tume ya uchaguzi, waziri Mchengerwa afunguliwe mashtaka ya uhaini, kwa kosa la kutaka kuteka mamlaka ya wananchi.
Mkuu upo sahihi sana , Tatizo la Tanzania hivyo vyama vingine vyote jamaa wanavitawala mpinzani pekee ni CDM na ndani ya CDM pia wamewekwa watu wao so kushinda uchaguzi kwa Tanzania wasahau

mi napendekeza vyama vyote vya ukweli viwaunganishe wananchi kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni bora vijikite huko kuliko kushiriki uchaguzi ambao wanajua fika watashindwa..
 
CCM yenyewe ni Tawi la Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹

Kama unabisha muulize Aziz 😀
Sasa kumbe shida Nini Hawa wavaa magauni hawaishi ni MATAMKO??

Au wanatucheza shere huku wanaendelea kuchukua pesa??

Maana MAASKOFU kwa pesa hawana ajizi wahuni Hawa.
 
Wanawakumbusha tu Wosia wa Mwenyeheri Julius Nyerere aliyetoa Unabii kwamba Vyama vyote vya Upinzani alivyoviunda vitakufa isipokuwa CHADEMA pekee ndio itadumu 😄
 
Aisee,kumbe hata chagadema kakitengeneza mwenyeshari Julius mchongameno?...
 
Hakuna chama kinachojitambua kinachoweza kuungana na kushirikiana na chama kilichojaa na kusheheni viongozi wababaishaji,wachumia tumbo, wasaka Tonge,wanafiki,ndumila kuwili na watu wasio na misimamo kama CHADEMA. Vyama vingine vya upinzani vimeridhika na matokeo na mchakato mzima wa uchaguzi. Na vimekubali kuwa havikuwa na maadalizi wala kujiandaa vyema na ndio maana vimedondokea pua.

Viongozi wanafiki kama lissu ambao hawakujiandikisha wala kupiga kura wataawaambia nini watu waweze kuwaelewa? Yeye mwenyewe hajapiga kura.sasa atasema nini ili wenye akili Timamu wamuelewe?
 
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.

Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na wanapitia madhira yale yale wanayoyapitia CHADEMA, na wananchi kwa ujumla, japo kwa viwango tofauti.

Viongozi kama Zitto Kabwe, naamini bado ana nguvu, ujasiri na ushawishi pia.

DHuluma ya CCM dhidi ya umma wa Watanzania, ituunganishe Watanzania wote wenye dhamira njema, iviunganishe vyama vyote vya siasa vyenye dhamira njema, hata kama vyama hivyo pengine havina nguvu zinazolingana.

Hivyo ni muhimu, ikiwezekana, Kamati kuu ya CHADEMA ijadili namna ya kushirikisha vyama vyote vyenye dhamira njema, katika kufikia uamuzi wa pamoja, juu ya hatua za kuchukua baada ya uchaguzi kuharibiwa kwa kiwango kisichotibika.

Ushauri wangu, kwanza ni kuitaka serikali kuufuta uchaguzi huu kwa kuwa ni haramu. Uchaguzi uitishwe upya na usimamiwe na Tume ya uchaguzi, waziri Mchengerwa afunguliwe mashtaka ya uhaini, kwa kosa la kutaka kuteka mamlaka ya wananchi.
Wazo zuri kabisa, BUT, The rest are CCM puppets! Mfano Zito usimwamini, usimwamini katu. itikadi kali ya dini, ame mute as if nothing is wrong concerning Samia regime! He has never criticized Samia!! Udini umemkaa sana,,,Then who else after Xito is out? Vile 14?
 
Aisee,kumbe hata chagadema kakitengeneza mwenyeshari Julius mchongameno?...
Edwin na Alhaj Bob Makani ni Vijana wa Nyerere

Ili Alhaj Bob awe na Akili za ulimwenguni aliozeshwa Bint wa kichaga kama mwenzake Oscar Kambona na Nelson Mandela 😂😂

Nyerere alikuwa Akili Kubwa sana ndio sababu aliweza kuwaundieni BAKWATA na mwanawe Shemasi Ben akawapa Bure chuo cha ADANI pale Morogoro 😄😂
 
Wazo kuntu sana hili.

Maazimio yawe haya:-
1. Kupaka vinyesi kwenye majengo ya umma yote.
2. Kumwaga sumu kwenye visima vya maji vya wanaccm wote.
3. Kuteka, kuua na kujeruhi watendaji kata na familia zao.
4. Kususia mikutanooe ya Samia na wate wake wote..
5. Kuangusha mti na kuziba barabara zote nchini.
 
Hakuna chama kinachojitambua kinachoweza kuungana na kushirikiana na chama kilichojaa na kusheheni viongozi wababaishaji,wachumia tumbo, wasaka Tonge,wanafiki,ndumila kuwili na watu wasio na misimamo kama CHADEMA. Vyama vingine vya upinzani vimeridhika na matokeo na mchakato mzima wa uchaguzi. Na vimekubali kuwa havikuwa na maadalizi wala kujiandaa vyema na ndio maana vimedondokea pua.

Viongozi wanafiki kama lissu ambao hawakujiandikisha wala kupiga kura wataawaambia nini watu waweze kuwaelewa? Yeye mwenyewe hajapiga kura.sasa atasema nini ili wenye akili Timamu wamuelewe?
CCM nzima mkikusanya akili zenu (kama mnazo anyway) haziwezi kufikia 0.0001 ya akil ya Lisu!
 
Ombea jeshi richukue nchi ivyo vyama pinzani vyote ni njaa hawawezi kaa meza moja wala hawawezi zungumza lugha moja sabu wote wananjaa na ni maskini tu

Pona ya Tz ni jeshi kuchukua nchi ama ni Ccm kwa Ccm wao kugombana
Ila vyama pinzani na viongozi wake wote ni njaa tena njaa kwer
 
Wazo zuri kabisa, BUT, The rest are CCM puppets! Mfano Zito usimwamini, usimwamini katu. itikadi kali ya dini, ame mute as if nothing is wrong concerning Samia regime! He has never criticized Samia!! Udini umemkaa sana,,,Then who else after Xito is out? Vile 14?
Kama unamwamini Mbowe na haumwamini Zitto basi utakuwa na Utapiamlo wa Ubongo 😂😄
 
Back
Top Bottom