LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa kweli yule mwenyeshari Julius alikuwa laaana sana

Tunafurahi kuona hata nyinyi wenyewe makafiri mnatambua kuwa bakwata alishiriki kuiasisi.

But tumeshtuka,japo kwa kukuchelewa but mwenyeshari laana ziwe juu yake.
 
Kwa kweli yule mwenyeshari Julius alikuwa laaana sana

Tunafurahi kuona hata nyinyi wenyewe makafiri mnatambua kuwa bakwata alishiriki kuiasisi.

But tumeshtuka,japo kwa kukuchelewa but mwenyeshari laana ziwe juu yake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo vipo vyama chawa vya CCM ambavyo havina vigezo vyovyote vya kuwepo lakini vinalindwa na CCM, vyama hivi huonekana wakati wa uchaguzi tu ili vivuruge kura kwa wapinzani, hivi vyama tayari vilikwisha sifu uchaguzi ulivyoenda, sasa utavishirikishaje tena!
 
BAKWATA ni kitengo cha CCM chenye jukumu la kuwaghilibu Waislamu waiunge mkono CCM.
Hilo tunafaham mbona kitambo tuh,na kanisa katoliki kama wanaona wenzaon wanafaidi basi wajiunge nao hao chadema,why wanasuasua na wanafahamika kuwa ajenda yao ni Nini??
 
Ivi nikweli CCM ingeshindwa ktk uchaguzi huuu ambao wapinzani wameweka wagombea %35 nchi nzima kwamaana %65 CCM ilishashinda kabla ya uchaguzi sasa apo kuna wakumlaumu kweli Mchengerwa angefanyanini ili upinzani ushinde kwa %35 ya wagombeawake. Mnakwepa kusema kweli kwann wapinzani wasiweke wagombea kwa 100% aya kwaiyo Mchengerwa ndio kikwazo nyie kushinda kwa %99 jua kali sana DAR poleni yumkin mvua zikianza mtajua shida sio Mchengerwa ni hii 35% Yanga bingwa.
 
Mosi: Chadema ni wabinafsi hawapendagi huo umoja

Mbili: Baadhi ya vyama vya upinzani vilishatoka mbele ya kamera jana na kusema Uchaguzi ulikuwa swafi kabisa tena vikalishukuru Jeshi la polisi kwa usimamizi mzuri, hiyo ndo siasa CCM ina mbinu korofi zaidi
 
Uchaguzi ushapita mmeshindwa fanyeni kazi zingine.
After all mnaonekana wafanya vurugu tu
Tunaonekana wafanya vurugu na nani? Kama ni hao shetani wauaji, ni sawa tu. Shetani kukuona wewe ni mwema maana yake na wewe ni shetani kama yeye. Ukionekana mbaya kwa shetani, shangilia.
 
Hatuzungumzii kushinda bali haki katika uchaguzi.

CCM kama ingekuwa na viongozi wenye akili, japo huwa hawapendi haki, kwenye uchaguzi huu ambao wapinzani waligombea maeneo machache, wangetenda haki kwa 100% ili kuwadamganya watu kuwa wao ni watu wa haki, maana walikuwa na uhakika wa kushinda. Lakini kwa vile watu wao wengi ni wenye akili ndogo, ndiyo maana wamefanya waliyoyafanya, na sasa ushetani wao upo wazi kwa kila mtu. Hakuna atakayeweza kuwaamini tena.
 
DHuluma ya CCM dhidi ya umma wa Watanzania, ituunganishe Watanzania wote wenye dhamira njema, iviunganishe vyama vyote vya siasa vyenye dhamira njema, hata kama vyama hivyo pengine havina nguvu zinazolingana.
Tukiyakumbuka ya UKAWA tunakosa nguvu kabisa watanzania.
Devide and rule ndiyo mtaji wa CCM.
 

View: https://www.instagram.com/reel/DC9AI8Ui38A/?igsh=MXUxejFlNXRtdWgweA==
 
Mtavuna mlichopanda, ya Zanzibar yakutokuzikana ndo yanaenda kutokea, taifa linaelekea shimoni
99% CCM, vyama vingine mmegawana hiyo 1%. CCM wanatosha kuzikana wenyewe kwa wenyewe. Nyie wengine mpaka mfanye kolabo kwenye mazishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…