LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ishirikishe hao 14 ambao hawajapata chochote lakini wanashangilia km cck? Mazuzu sana!
 
Viongozi kama Zitto Kabwe, naamini bado ana nguvu, ujasiri na ushawishi pia.
Unatupeleka kwenye serikali ya "umoja" CCM ikiwa kinara?

Hapana. Hata sielewi wazo hili limekuijia vipi akilini!
 
Tatizo siyo kudhirikiana, shida ni unashirikiana na nani. Hivihivi vikundi vya mapambio visivyojua maana ya kuundwa kwake ndo viungane na CHADEMA au ACT kweli. Sidhani km ni sahihi.
 
Unatupeleka kwenye serikali ya "umoja" CCM ikiwa kinara?

Hapana. Hata sielewi wazo hili limekuijia vipi akilini!
Siyo Serikali ya umoja, bali kuungana katika kutafuta haki.

Ikishawekwa mifumo ya haki, kila chama kitaingia kwenye uchaguzi kikisubiria maamuzi ya wananchi.
 
Tatizo siyo kudhirikiana, shida ni unashirikiana na nani. Hivihivi vikundi vya mapambio visivyojua maana ya kuundwa kwake ndo viungane na CHADEMA au ACT kweli. Sidhani km ni sahihi.
Nimesema wazi, kuwepo na ushirikiano wa vile vyama vyenye dhamira njema, siyo vile vyama 14 chawa wa CCM. Vile 14, vina ushirika tayari na shetani CCM.
 
Siyo Serikali ya umoja, bali kuungana katika kutafuta haki.

Ikishawekwa mifumo ya haki, kila chama kitaingia kwenye uchaguzi kikisubiria maamuzi ya wananchi.
Mkuu, hili wazo lako ni njia mbadala ya kufifisha juhudi za wanaotaka kwa dhati kabisa kuiondoa CCM madarakani.

Sioni inakuwaje umlalamikie Mbowe (kwa haki kabisa), halafu hapo hapo unageukia upande utakao ingiza matatizo makubwa zaidi ndani ya chama!
Ajabu, hata akina Liumba unawa tambua kuwa na dhamira, kweli?
 
Ni sahihi. Hapa naongelea vyama vyenye dhamira njema, siyo vile vyama 14, machawa ya CCM.
 
Tunaonekana wafanya vurugu na nani? Kama ni hao shetani wauaji, ni sawa tu. Shetani kukuona wewe ni mwema maana yake na wewe ni shetani kama yeye. Ukionekana mbaya kwa shetani, shangilia.
Ndo hivo tena Watanzania wamewakataa
 
Act
Act Wazalendo wametowa tamko jana kupitia kiongozi wa chama hawautambui uchaguzi na zito kwa jimbo la kigoma kasema wanaenda mahakamani kuwashtaki msimamizi mkuu wa uchaguzi pamoja na wagombea wa mitaa yote ya jimbo la kigoma mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…